Kwenye koo langu kuna kitu nakisikia kama kimekwama sasa nashindwa kuelewa ni kitu gani

Mkuu kama hujapata tiba mpaka sasa na upo Dar ni PM nikuelekeze sehemu ukanujue dawa. Kuna mtu alikua na tatizo hilohilo miezi kadhaa nyuma na alipona fasta tu.
Nielekeze ndugu yangu ,kuna MTU ana tatizo hili 0714204051
 
Tia mkaa wa Moto kwenye maji Kisha kunywa kabla hayajapoa....Kama Ni tonsils utapona ... Ndani ya wiki.

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Nenda hospital mkuu inaweza kuwa Dalili ya kansa

Xxxccccccvcvvvvvvvv vbbbbbbbbbvbbbbbbbbbnbbbbb
 
Wewe ke au me? Kama unatabia ya kula "cone" kwenye mambo yele ujue imekwamia kwenye koo!
 
Pole, you'll be fine in the Name of Jesus Christ Name.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…