Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi

Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda uhalisia utakushangaza
 
Teh teh unaumia ? POPOMALISM at work
 
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi

Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda uhalisia utakushangaza
Ujinga ujinga tuu, na huko kichwani mmejaza zero tuu
 
Hutazani unaishi huko.Vipi ya mama samia kuwa tumeizidi Marekani na ulaya kufanya vizuri maendeleo mbona ujatupa uchambuzi wake.
Huyu mama kawa comedian kama saidsaid
 
Acha kutushawishi tuiangalie Kenya katika lugha hiyo - hiyo ni Hasty Generalization.

Kwamba kuvunja duka ndiyo lengo lao kuu - Completely Illogical.

Tunachokiangalia hapa ni ujasiri wa wananchi kutoka na kusimama na kuongelea masuala ya Haki.

Tanzanians ni weak - Harsh Truth.
 
haki haitafutwi kwa kuvunja maduka alafu kuna njia nyingi za kudai haki kuandamana its the worst you can do

View: https://vm.tiktok.com/ZMS5DdJgm/
 
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi

Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda uhalisia utakushangaza
Kenya njaa kali, haki ipi wanadai hao wanatafuta sababu ya kuvunja na kuiba. Serikali imeshachukua hatua kubwa wanaandamana ili iweje? Ni majobless wanaomba hayo maandamano yaendelee kuwepo. Najisikia fahari kuwa mtanzania, tuna serikali imara na jeshi imara, kwetu huwezi kufanya huo upuuzi, wanajeshi wetu hawacheki na kima km hao.
 
Kenya njaa kali, haki ipi wanadai hao wanatafuta sababu ya kuvunja na kuiba. Serikali imeshachukua hatua kubwa wanaandamana ili iweje? Ni majobless wanaomba hayo maandamano yaendelee kuwepo. Najisjikia kuwa mtanzania, tuna serikali imara na jeshi imara, kwetu huwezi kufanya huo upuuzi, wanajeshi wetu hawacheki na kima km hao.

View: https://vm.tiktok.com/ZMS5DdJgm/
 
Back
Top Bottom