Kwenye mafanikio yatein ndo alichangia asilimia kubwa ya mafanikio yake, saivi Einsten anajulikana kama moja ya wanasayansi wa kubwa wa kipindi hiki

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
1740604484084.jpg
Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein.

Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten.
Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote.

Alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia mahiri. Wawili hao walikutana katika Taasisi ya Polytechnic Zurich.

Tofauti na Einstein, yeye alilazimika kupambana na kupata ruhusa maalum ili kuhudhuria masomo.

Chuoni, alipata alama za juu zaidi kuliko Einstein. Kwenye applied physics, alipata alama ya juu kabisa ya 5, huku Einstein akipata alama ya 1 pekee.

Mnamo 13 Desemba 1900, walituma makala yao ya kwanza kuhusu Capillarity (kapilari), lakini ilisainiwa kwa jina la Einstein pekee, kwa kuwa kazi zao zisingechapishwa zikiwa na jina la mwanamke.

Nakala nyingi za mihadhara yake (lectures)zimeandikwa kwa mwandiko wa Mitza. na Einstein aliwahi kusikika akisema kwenye sherehe, "Namuhitaji mke wangu; hunisaidia kutatua matatizo yangu yote ya hisabati."

Asilimia 80 ya kazi maarufu za Einstein zilichapishwa wakati wa ndoa hii, kipindi kinachojulikana kama miaka yake ya maajabu.

Miaka hiyo ya maajabu ilimalizika ghafla baada ya talaka yao kutokana na usaliti na kuachwa kwake.

soma zaidi:MIT Press Bookstore
 
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.
Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani thus akaonekana ndie mwandishi wa vitabu hivyo.
Mfalme sulemani aliandika kitabu kimoja tu kinaitwa hekima ya sulemani na Mithali viliandikwa na wanandishi wengine.
 
View attachment 3250995Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein.

Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten.
Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote.

Alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia mahiri. Wawili hao walikutana katika Taasisi ya Polytechnic Zurich.

Tofauti na Einstein, yeye alilazimika kupambana na kupata ruhusa maalum ili kuhudhuria masomo.

Chuoni, alipata alama za juu zaidi kuliko Einstein. Kwenye applied physics, alipata alama ya juu kabisa ya 5, huku Einstein akipata alama ya 1 pekee.

Mnamo 13 Desemba 1900, walituma makala yao ya kwanza kuhusu Capillarity (kapilari), lakini ilisainiwa kwa jina la Einstein pekee, kwa kuwa kazi zao zisingechapishwa zikiwa na jina la mwanamke.

Nakala nyingi za mihadhara yake (lectures)zimeandikwa kwa mwandiko wa Mitza. na Einstein aliwahi kusikika akisema kwenye sherehe, "Namuhitaji mke wangu; hunisaidia kutatua matatizo yangu yote ya hisabati."

Asilimia 80 ya kazi maarufu za Einstein zilichapishwa wakati wa ndoa hii, kipindi kinachojulikana kama miaka yake ya maajabu.

Miaka hiyo ya maajabu ilimalizika ghafla baada ya talaka yao kutokana na usaliti na kuachwa kwake.

soma zaidi:MIT Press Bookstore
Ni kwa sababu ya uyahudi wake.

God BLESS and PROTECT Israel

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE OR NOT

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom