masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mmezoea kucheza makida makida, sisi wananchi tunataka chama serious, ili tuzipime sera.acha u mbumbumbu, tunaongelea umuhimu wa KATIBA MPYA ndiyo hoja iliyopo mezani, nani kaongelea CDM kushinda? kushinda nini kwa mfano.
Yaani wewe, siku hizi unajifanya "mjinga" kwelikweli..Siyo kazi ya mwana habari kueleza sera za chama husika.
Lissu missed the oppurtunity, nilishangaa anaongea tu juu ya mafao yake!
Anastahili ndiyo akini mimi au mtanzania yeyote yanamhusu vipi?
He misssed a rare oppurtunity!
Hujaongea kitu hapo.Yaani wewe, siku hizi unajifanya "mjinga" kwelikweli..
He hasn't and he will never miss any opportunity. Only dead people miss opportunity...
Tundu Lissu is alive and you will see and listen him again tomorrow and forever..
Keep your ears wide open BIG CHAWA..
Ni ujinga wa kisiasa ukipewa oppurtunity, halafu wewe unalalamika hujanywa chai?Sukuma Gang wamejikita kumkosoa Lissu tu hata asipostahili kukosolewa
Huwezi kuongea kitu (hoja) pasipokuwa na kitu (hoja)!Hujaongea kitu hapo.
Umeanza vizuri, ila mwishoni umeonyesha Uchawa wa kichama badala ya kuwa chawa wa nchi Yetu Tanzania. Ni hayo tu.na ndyo hapo waafrica tunapokwama, yaani takwa la kikatiba ulione ni la kichama badala ya Taifa?Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe.
Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya tofauti kwa wananchi kuliko CCM.
Hilo nilikuwa nalisubiri kwa makini, lakini in that regards ilikuwa dissapointment.
~ Ni kweli ameonewa.
~ Ni kweli ana stahiki zake binafsi anazodai.
~ Ni kweli CHADEMA ilimimnywa kisiasa kwa wananchama wake kufungiwa abatini.
Lakini ni bora CHADEMA ijifikirie kwanza kuwa ni kitu gani kitawashauri Watanzania kuwachagua, na kuwa mbadala wa CCM. Hilo sijalisikia toka kwa Lissu au Mbowe mwenyewe.
~ Sera za uchumi.
~ Sera za Maendeleo.
~ Sera za Ulinzi na usalama.
~ Sera za Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Wasiishie eti kulia tu Katiba Mpya ya kuwapeeka Ikulu, ili na wao wakale keki ya Taifa. Wananchi hawataki eti kuichagua CHADEMA kwa vile tu Lissu na Mbowe yuko kule. Wanataka kuona FAIDA ya sera zao kubinafsi na kitaifa kwa ujumla.
Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe...
Kwa hiyo Katiba Mpya ambayo wala huijui ikoje ndiyo itakupa hoja.Huwezi kuongea kitu (hoja) pasipokuwa na kitu (hoja)!
Bingo!shida ya chadema wanafanya siri sera zao wanataka mpaka washike dora ndiyo waseme watafanya hivi na vile sasa nani atawaamini kuwapa nchi wakati hatujui mipango yao
Kwa hiyo Katiba Mpya ambayo wala huijui ikoje ndiyo itakupa hoja.
You are like a blind man walking towards a cliff edge.
tatizo lao hawawafundishi watu ila wanawalazimisha tu katiba mpya wakati ya zamani yenyewe hawaijui..Cdm wanatakiwa wawafundishe wananchi umuhimu wa Katiba Mpya Bora na jinsi itakavyosaidia kuweka mazingira bora ya kutatua changamoto za wananchi.
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani, huyu alitaka Lissu atoke nje ya maswali aliyoulizwa halafu baadae waanze kusema amechanganyikiwa, anaulizwa hiki anajibu kile!.Lissu alikuwa akijibu maswali aliyokuwa anaulizwa. Hakuwa akihutubia. Hoja yako ningeielewa iwapo ungewalaumu ITV kwa nini hawakuuliza maswali ya kumwelekez Lissu aseme ni Vipi Chadema itakuwa Mbadala wa CCM
Chama kinatangazwa kwenye mikutano ya hadhara, huko ndiko wana uhuru wakuzungumza walichopanga wao, sio kwenye interview unapoongozwa na muendesha kipindi.Basi ninaona Lissu kuwa a very poor politician, not to see rare opportunities kukitangaza chama chake.
Pale ameongea mambo ya kuchumia tumbo tu n hana lolote lq maana aliloongea kwa Mtanzania kwa ujumla.
Akilipwa, na atalipwa tu stahiki zake- so what?
Watu hawana hoja kazi kumuongelea Lisu kwa mabaya ...lissu alikuwa anajibu maswali aliyoulizwa ilikuwa ni interview ile sio kujielezea yeye mpango wa chamaHawa jamaa sijui wana matatizo gani, huyu alitaka Lissu atoke nje ya maswali aliyoulizwa halafu baadae waanze kusema amechanganyikiwa, anaulizwa hiki anajibu kile!.
Sera zenu CHADEMA ni mafao ya Lissu.Chama kinatangazwa kwenye mikutano ya hadhara, huko ndiko wana uhuru wakuzungumza walichopanga wao, sio kwenye interview unapoongozwa na muendesha kipindi.
Ukweli mchungu katika hili ni kwamba wanaotakiwa kuifanya CHADEMA iwe mbadala wa CCM; ni CCM wenyewe kwa kushirikiana na Serikali yao.Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe...
Ni ujinga pia kutokuelewa maelezo mepesi.Ni ujinga wa kisiasa ukipewa oppurtunity, halafu wewe unalalamika hujanywa chai?
tatizo lao hawawafundishi watu ila wanawalazimisha tu katiba mpya wakati ya zamani yenyewe hawaijui
Umesema umesikiliza kwa makini interview hiyo;nami pia nilifanya hivyo;lakini,labda kama kwenye kipengele hicho nililala/kusinzia pia sikusikia kama walimuuliza kuhusu uliyoyaainisha: uchumi,maendeleo ulinzi na usalama na mambo ya nje,kama hakuulizwa kuhus hayo angejibuje?Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe....