Kwenye mahusiano usiwe serious sana utateseka

Kwenye mahusiano usiwe serious sana utateseka

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Ukiwa serious sana kwenye mahusiano au ndoa utakeyeumia ni wewe.

Nimejifunza kutokuwa serious kwenye ndoa au kwenye mahusiano yeyote yaani utapendwa tu automatically.

Wanawake wanapenda Sana wanaume ambao they don't care about anything Ila wanaojitambua. Don't fall in love but kuwa na upendo.

Watu wanajiua na kuua because wanakuwa serious Sana kwenye relationship pia hawana upendo but wana-fall in love.
 
Kuna Watu ukiwa kwenye mahusiano nao
Hutakiwi kuwaonyesha attention, love, sympathy and care

Coz wao wanavitafsiri Kama inferiority complex yako ili kulilinda penzi lako wengine wasikunyang'anye.

Wa hivi
Akikuzingua Mara 1,
Unamzingua Mara 2 yake
Yaani mnaenda bampa to bampa[emoji41]
 
Kipi ni kipi sasa kufall in love au kupenda...mbona kama tofauti ni lugha tuu, em jenga hoja inayoelewekaa mkuu
 
Na Hilo ndilo jukumu la kila mwanaume.
Huwezi kumpenda mtu asiyetaka kupendwa. Kutokana na psycholojia ya sasaivi kuwa kila mtu ni mchepukaji au malaya basi ukizidisha mwenzako atakuona unamuongopea, lasivyo utamtisha na kumfanya aanze kujihami. Hivyo msome mwenzako na kwakiwango kilekile ulichokipata kwente majibu ya kumsoma ndio utoe hivyohivyo. Ukizidisha mtaanzishiana matatizo na kuharibiana uaminifu. Huwezi kuruka 10 pasipo kupitia saba. So hainahaja ya kujiumiza kichwa, maana pia utakuwa unajiumiza kichwa mwenyewe, kwakuwanawe pia unakiwango chako chakupenda. Above that, unajilietea mental disorders na tabia ya kujipendekeza ambayo ni unafiki.
 
Nimekuelewa Sana mkuu.Ahsante kwa kunifumbua macho.
 
Back
Top Bottom