technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
🤝🤝🤝Kila kitu kwa kiasi.
Wanawake hawapendi tuwapende saaaaana ....tuwanganganie weeeee ......kila saa kubebishana....nooo msuse kimtindo atakuja tuu
Hahahaa, kwamba kizazi cha sasa hivi ni cha ovyoMe naona katoa hoja kulingana na wakati wao ilivokua ila sio sasa.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Hello KasieKila mahusiano yana namna yake kulingana na ntu na ntu...
Huwezi kumpenda mtu asiyetaka kupendwa. Kutokana na psycholojia ya sasaivi kuwa kila mtu ni mchepukaji au malaya basi ukizidisha mwenzako atakuona unamuongopea, lasivyo utamtisha na kumfanya aanze kujihami. Hivyo msome mwenzako na kwakiwango kilekile ulichokipata kwente majibu ya kumsoma ndio utoe hivyohivyo. Ukizidisha mtaanzishiana matatizo na kuharibiana uaminifu. Huwezi kuruka 10 pasipo kupitia saba. So hainahaja ya kujiumiza kichwa, maana pia utakuwa unajiumiza kichwa mwenyewe, kwakuwanawe pia unakiwango chako chakupenda. Above that, unajilietea mental disorders na tabia ya kujipendekeza ambayo ni unafiki.Na Hilo ndilo jukumu la kila mwanaume.
Nimekuelewa Sana mkuu.Ahsante kwa kunifumbua macho.Huwezi kumpenda mtu asiyetaka kupendwa. Kutokana na psycholojia ya sasaivi kuwa kila mtu ni mchepukaji au malaya basi ukizidisha mwenzako atakuona unamuongopea, lasivyo utamtisha na kumfanya aanze kujihami. Hivyo msome mwenzako na kwakiwango kilekile ulichokipata kwente majibu ya kumsoma ndio utoe hivyohivyo. Ukizidisha mtaanzishiana matatizo na kuharibiana uaminifu. Huwezi kuruka 10 pasipo kupitia saba. So hainahaja ya kujiumiza kichwa, maana pia utakuwa unajiumiza kichwa mwenyewe, kwakuwanawe pia unakiwango chako chakupenda. Above that, unajilietea mental disorders na tabia ya kujipendekeza ambayo ni unafiki.
Hicho ni kitu ambacho hakitabiliki, hata ukiwa nae serious akiamua ameamua tuUsipokua naye serious kuna wenzako watakua naye serious