kelvinvevo
Senior Member
- Sep 12, 2021
- 108
- 375
Amna sikuizi😃😃mimi naona kwa mwanamke ndo risky zaidi anaweza achika akiwa na mimba
Mwanamke mwenye akili inayofanya kazi vizuri hawezi kubali kirahisi kuachika Kwa mme akiwa na mimba.mimi naona kwa mwanamke ndo risky zaidi anaweza achika akiwa na mimba
Kwa mwanamke ni risky lakini mpaka unamuacha bro ulishatoa sana kwake probably mpaka unamuacha pengine ashanunua nguo na vitu vengine kadha wa kadha.. kiufupi kuna namna umeongezea sio vile kama ulivyomkuta.. (kwa asilimia kubwa)mimi naona kwa mwanamke ndo risky zaidi anaweza achika akiwa na mimba
Yaweza usifilisike huwezi fanya kitu beyond uwezo wako ila kuna loss somewhere..Ili yasikuumize,
Usiyachukulie serious Sana,
Ni aibu mno kufilisika kisa mapenzi
Yah! Loss hazikosekani mkuuYaweza usifilisike huwezi fanya kitu beyond uwezo wako ila kuna loss somewhere..
One man down [emoji23]Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.
Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokua nacho kwa ajili yake.
Lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli.
kiufupi inakua loss na hela zako, mda wako na effort zako zooote zinaenda bure.
Hakika wanaume tumeumbiwa mateso.
A risk should be very calculated, take a greatest risk at a greatest profit.Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.