Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.

Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokua nacho kwa ajili yake.

Lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli.

kiufupi inakua loss na hela zako, mda wako na effort zako zooote zinaenda bure.

Hakika wanaume tumeumbiwa mateso.
Pole mkuu
 
Acha uwoga wewe ukitendwa ndio unakuwa mkakamavu kwenye upendo.

Ukiingia miguu yote lazima utaanguka kwahiyo lazima utumie hatua.

mapenzi yanaRun dunia.
 
Mapenzi Yana upuuz mwingi Sana[emoji28]

1. Unatumia akili nyingi kumpata,
2. Unawekeza muda wako mwingi kwake
3. Unatumia gharama sn kumhudumia,

Ila anaweza kutumia dakika Moja kukupiga chini, tena kirahisi sana bila kuwaza mlikotoka au kujiuliza mara mbili

SAHV WANAUME TUNAISHI KIMACHALE[emoji28]
Hii Huwa inatokea kwa pande zote,tukumbuke kuwa wapo wanawake wanaojitoa sana kwa wanaume wanaowapenda,wanapoteza muda mwingi sana kuwahudumia na kuishi nao,wanawaacha wanaume wengine wote na kujitoa kwa ajili ya huyu mmoja,wanamzalia mtoto/ watoto lkn mwisho wa siku mwanaume anaenda is mwingine,aliyemvumilia wakati Hana kitu anaonekana mjinga na sio wa type yake
 
Mama J ashakubwaga?
 
Nani amekuambia kwamba wanaume, tumeumbiwa mateso, au ulisikia wapi nakusoma wapi!!!
Matatizo mengi huwa tunapenda kujitafutia wenyew tu, kumbuka mwanamke anaongozwa na hisia.

Hutakiwi kumwamini mwanaumke hatakidogo mnapokua kwenye mahusiano, wew mpende tu. Huku ukijitahidi kuombea mazuri katika mahusiano yenu na wakati huohuo ukijiandaa kwa jambo lolote bayalitakalo haribu mahusiano yenu.
 
Ili yasikuumize,
Usiyachukulie serious Sana,
Ni aibu mno kufilisika kisa mapenzi
Nyie semeni tu hivi!! Kuna mitoto mijaa rahana ikija kwako na story zao za kutendwa unaona hapa hili limepitia msoto ngoja niishi nalo una invest mdaa ,pesa na vitu vya thamani kuliko kalivyo Ila sasa katakavyo kuja kukuvuruga ubongo utakaa ndani sikuu kadhaa ukibubujikwa na machoz huku ukijiuliza ni yule niliyjua anajua maumivu ya usalit au ni crone yake.....acheni mapenzi yaitwe mapenzi koz ni uquma hatar[emoji24][emoji24]
 
Hii Huwa inatokea kwa pande zote,tukumbuke kuwa wapo wanawake wanaojitoa sana kwa wanaume wanaowapenda,wanapoteza muda mwingi sana kuwahudumia na kuishi nao,wanawaacha wanaume wengine wote na kujitoa kwa ajili ya huyu mmoja,wanamzalia mtoto/ watoto lkn mwisho wa siku mwanaume anaenda is mwingine,aliyemvumilia wakati Hana kitu anaonekana mjinga na sio wa type yake
Huyo mwanamkee anapatikana Pande zip nimtimbie huku nilipo naona vimbwanga sana
 
Kama una mwanamke
Sio mkeo official, Wala hujazaa nae
Mhudumie kwa Ela za ganji na za ziada tu

sio kujilipua
unavuruga bajeti zako,
au unaingia madeni mbalimbali
kisa kugharamia mahusiano upendwe.

Ukitumia Ela ya ziada
Ata akizingua huumii au huyumbi,
unachukulia loss kama ulikunywa bia[emoji4]
naomba iwekwe front page kwenye gazeti la kesho
 
Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.

Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokua nacho kwa ajili yake.

Lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli.

kiufupi inakua loss na hela zako, mda wako na effort zako zooote zinaenda bure.

Hakika wanaume tumeumbiwa mateso.
Wanaume maboya ndio mmeumbiwa mateso. Mimi nitoeni kwenye hilo kundi linalo teseka na mapenzi...I know how to fish ...
 
Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.

Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokua nacho kwa ajili yake.

Lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli.

kiufupi inakua loss na hela zako, mda wako na effort zako zooote zinaenda bure.

Hakika wanaume tumeumbiwa mateso.
TAFUTA HELA
 
Back
Top Bottom