Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

Pole mkuu
 
Acha uwoga wewe ukitendwa ndio unakuwa mkakamavu kwenye upendo.

Ukiingia miguu yote lazima utaanguka kwahiyo lazima utumie hatua.

mapenzi yanaRun dunia.
 
Hii Huwa inatokea kwa pande zote,tukumbuke kuwa wapo wanawake wanaojitoa sana kwa wanaume wanaowapenda,wanapoteza muda mwingi sana kuwahudumia na kuishi nao,wanawaacha wanaume wengine wote na kujitoa kwa ajili ya huyu mmoja,wanamzalia mtoto/ watoto lkn mwisho wa siku mwanaume anaenda is mwingine,aliyemvumilia wakati Hana kitu anaonekana mjinga na sio wa type yake
 
Mama J ashakubwaga?
 
Nani amekuambia kwamba wanaume, tumeumbiwa mateso, au ulisikia wapi nakusoma wapi!!!
Matatizo mengi huwa tunapenda kujitafutia wenyew tu, kumbuka mwanamke anaongozwa na hisia.

Hutakiwi kumwamini mwanaumke hatakidogo mnapokua kwenye mahusiano, wew mpende tu. Huku ukijitahidi kuombea mazuri katika mahusiano yenu na wakati huohuo ukijiandaa kwa jambo lolote bayalitakalo haribu mahusiano yenu.
 
Ili yasikuumize,
Usiyachukulie serious Sana,
Ni aibu mno kufilisika kisa mapenzi
Nyie semeni tu hivi!! Kuna mitoto mijaa rahana ikija kwako na story zao za kutendwa unaona hapa hili limepitia msoto ngoja niishi nalo una invest mdaa ,pesa na vitu vya thamani kuliko kalivyo Ila sasa katakavyo kuja kukuvuruga ubongo utakaa ndani sikuu kadhaa ukibubujikwa na machoz huku ukijiuliza ni yule niliyjua anajua maumivu ya usalit au ni crone yake.....acheni mapenzi yaitwe mapenzi koz ni uquma hatar[emoji24][emoji24]
 
Huyo mwanamkee anapatikana Pande zip nimtimbie huku nilipo naona vimbwanga sana
 
naomba iwekwe front page kwenye gazeti la kesho
 
Wanaume maboya ndio mmeumbiwa mateso. Mimi nitoeni kwenye hilo kundi linalo teseka na mapenzi...I know how to fish ...
 
TAFUTA HELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…