Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Issa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili suala la hivi karibuni la Dotto Magari.
Jamaa anamkanyagia sana mwenzake kwa kigezo cha utani lakini sasa amevuka mipaka na wengi wamemchana .