secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Choicevariable ni Mwijaku 😎lucas ni Dotto😆

Mambo ya kipuuzi unaleta hadi huku? Ili iwejeIssa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili suala la hivi karibuni la Dotto Magari.
Jamaa anamkanyagia sana mwenzake kwa kigezo cha utani lakini sasa amevuka mipaka na wengi wamemchana .
Mbea Dada ChakubimbiZezeta.
🚮Mbea Dada Chakubimbi
Issa ni rafiki mzuri sana kwa Dotto. Baada ya ile issue kutokea aliamua kuibeba kama utani ili kila mtu aamini ni utani kumbe ukweli wanaujua wao wenyewe.Issa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili suala la hivi karibuni la Dotto Magari.
Jamaa anamkanyagia sana mwenzake kwa kigezo cha utani lakini sasa amevuka mipaka na wengi wamemchana .
Nimeangalia nikitegemea ufafanuzi ili wote tumfahamu lakini bado sijaambulia kitu.Kwa nini habari za watu wa mtaani kwenu huzileta humu kana kwamba JF ni group la nzengo?
Tlaatlaah ni UncleT anayezima winga zote mbili..Choicevariable ni Mwijaku 😎
Una umri gani kijana? Watu wanawasha moto ili wapige pesa wewe unapuyangaIssa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili suala la hivi karibuni la Dotto Magari.
Jamaa anamkanyagia sana mwenzake kwa kigezo cha utani lakini sasa amevuka mipaka na wengi wamemchana .
Relax.Hance Mtanashati kila siku unaleta habari za udaku udaku tu, sijui Diamond amemnunulia kijora Wema Sepetu, mara Uncle angu T amemchamba Mwijaku.. Mkuu kwa nini hata siku moja usituletee uzi wa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili kuboresha hatma ya nchi yetu...
Halafu I'd yako ni kongwe kimtindo, sasa najaribu ku-imagine siju utakua baba wa design gani, najaribu kutafakari morphology ya mwili wako na life style unayoishi nikilinganisha na story unazotuletea..
Issa Tambuu ni mnafiki sana.