Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ngoja tukae hapa hapa watafunguka tuAnauza mirungi? Au tambuu gani?
Wana tabia zinashabihiana?Isa tambuu ndiye huyu anayejiita Lukas Mwanshambwa?
Basi utabiri wangu haujaenda mbali.Wana tabia zinashabihiana?
Aisee huwa inakera Sana Kwa jinsi jamiiforum ilipofikia..Kwa nini habari za watu wa mtaani kwenu huzileta humu kana kwamba JF ni group la nzengo?
Lakini,mnapewa taarifa kiroho poa bila gharama,kwa nini muwe wachungu?Aisee huwa inakera Sana Kwa jinsi jamiiforum ilipofikia..
Story za kishamba za mtaani zinakuja Hadi huku
Tuko pamoja mkuuLakini,mnapewa taarifa kiroho poa bila gharama,kwa nini muwe wachungu?
AiseeTumesikia kilio chako Dotto Magari.
lucas ni Dotto😆Isa tambuu ndiye huyu anayejiita Lukas Mwanshambwa?
Wanawake mnajuana. unavyoandika unaandhika kama wote tunawafahamu nyie ni akina nani.... au ni sehemu yenu ya umbea na kufuatiliana. mi nikejiuliza huyo tambuu ni nani.. mpaka sasa sijapata majibu anyway ngoja sisi wanaume tuwaachie uzi wenu. mje msutane hapaIssa Tambuu ni mnafiki sana.
Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu.
Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio wanajua.
Na kuhusu Issa nilidhani ni mimi peke yangu kumbe wengi wameshajionee hususani kuhusu hili suala la hivi karibuni la Dotto Magari.
Jamaa anamkanyagia sana mwenzake kwa kigezo cha utani lakini sasa amevuka mipaka na wengi wamemchana .
Zezeta.Wanawake mnajuana. unavyoandika unaandhika kama wote tunawafahamu nyie ni akina nani.... au ni sehemu yenu ya umbea na kufuatiliana. mi nikejiuliza huyo tambuu ni nani.. mpaka sasa sijapata majibu anyway ngoja sisi wanaume tuwaachie uzi wenu. mje msutane hapa