haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani.
Kwa mfano
1. Muonekano wako, kama we ni mfupi huwezi kua mrefu, kam ni mweusi ndo huwez kua mweupe hata ukijichubua utarudi kwenye weusi tena wa makovu.
2. Family background - huwezi chagua uzaliwe familia gani, wapo wanazaliwa familia za kitajili, wapo wanazaliwa familia za kifukara nk. Hiyo haiwezi badilika.
Mimi sijachagua kua handsome, ni Mungu tu kanibariki kua hivyo, kukataa ukweli huu ni kua na husda