Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu haijalishi mwanaume awe vipi kimuonekno, cha muhimu tu awe amejipata kimaisha, na kuwa na uhakika na njia sahihi za kupata maokoto. Kuwa "handsome" peke yake hakutoshi kama unajitafuta, huna uhakika na maisha, na wala huna chapaa za uhakika.Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani.
Kwa mfano
1. Muonekano wako, kama we ni mfupi huwezi kua mrefu, kam ni mweusi ndo huwez kua mweupe hata ukijichubua utarudi kwenye weusi tena wa makovu.
2. Family background - huwezi chagua uzaliwe familia gani, wapo wanazaliwa familia za kitajili, wapo wanazaliwa familia za kifukara nk. Hiyo haiwezi badilika.
Mimi sijachagua kua handsome, ni Mungu tu kanibariki kua hivyo, kukataa ukweli huu ni kua na husda
Ni vizuri kujikubali bana..kama yeye anajiona handsome mie nani nibishe😅Umejiridhisha kwa kipi?Asijekuwa the gorilla magila tu.
Poa tu.Hensham na mkyutii!😂Ni vizuri kujikubali bana..kama yeye anajiona handsome mie nani nibishe😅
Ila unaweza kuchagua kuandika kitajiri.wapo wanazaliwa familia za kitajili,
MAISHA HAYAKUPI UNACHO TAKA BALI MAISHA YANA KUPA KILE UNACHO TAFUTA
💯MAISHA HAYAKUPI UNACHO TAKA BALI MAISHA YANA KUPA KILE UNACHO TAFUTA
EXACTLY MY G 👍Life doesn't give you what you want. It gives you what you work for.