Kuishi muhimu broHata kama umeachwa usiache kula bro, kula kitimoto nusu, ndizi mbili na bia 5.
Kabisa bro hakikisha unasikitika huku umeshiba 😁Kuishi muhimu bro
Single rahaa sana unaweza kusafiri mda wowote
Ngoja Equation x aje kila siku namwambiaga ni UBATILI mtupu anakazana kula ugali tu!Jana tu apa nilikuwa na mwanamke Leo naamka single kweli maisha ni ubatili mtupu
Kama kakusaliti block kabisa msaliti hafai hata kusikilizwahuyu nilikua natoa mwezi huu ila kafanya ujinga wake mwenyewe
View attachment 3685822
Siku hizi ukiachwa moyo na nafsi vinapumua ni kama umetua mzigo unanawiri, ngozi inaglow enyewe hata kwa babycare😉kuachwa kuachwa ni shughuli pevu.....
Mapenzi hayashauriki mkuu watu wanazaa nje na wanasamehewa sembuse kusaliti tuKama kakusaliti block kabisa msaliti hafai hata kusikilizwa
Nilikua najinyima alafu demu nampelekea chips mayai daah nilikua mjinga sana,Na unakula chochote na popote
Hii ni habari njema. Si ndio?Jana tu apa nilikuwa na mwanamke Leo naamka single kweli maisha ni ubatili mtupu
Hakuna mwanaume hapo huyo binti angejua asipoteze muda kwà mwanaume mwenyewe wa kuleta chats za mwenza jf mmhhhuyu nilikua natoa mwezi huu ila kafanya ujinga wake mwenyewe
View attachment 3685822