Asee nisameheni wanaume wenzangu nilikua mjinga sana Kuna jamaa yangu anaitwa Jamal, alinishauri kaka hiyo hela si Bora ununue ka samaki upike getoo ule sikumuelewa.Usirudie tena huo udwafuzi kwa hilo nakuunga mkono kwa vitendo
Kuwa singo ni kujitakiwa mwenyewe, mimi babu yenu nimezaa na warembo lukuki, nitakuwaje singo sasa; huyu akizingua naamia kwa mwingine.Ngoja Equation x aje kila siku namwambiaga ni UBATILI mtupu anakazana kula ugali tu!
Hahhhhhh we ni hatareee mkuu!Kuwa singo ni kujitakiwa mwenyewe, mimi babu yenu nimezaa na warembo lukuki, nitakuwaje singo sasa; huyu akizingua naamia kwa mwingine.
Maisha ni sanaa.