Kwenye maisha kuwa single ni kufumba na kufumbua

Usirudie tena huo udwafuzi kwa hilo nakuunga mkono kwa vitendo
Asee nisameheni wanaume wenzangu nilikua mjinga sana Kuna jamaa yangu anaitwa Jamal, alinishauri kaka hiyo hela si Bora ununue ka samaki upike getoo ule sikumuelewa.
 
Ngoja Equation x aje kila siku namwambiaga ni UBATILI mtupu anakazana kula ugali tu!
Kuwa singo ni kujitakiwa mwenyewe, mimi babu yenu nimezaa na warembo lukuki, nitakuwaje singo sasa; huyu akizingua naamia kwa mwingine.
Maisha ni sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…