Kwenye Maisha usikabali shida zako kuwapa wengine na za wengine kuzibeba bila sababu ya msingi

Kwenye Maisha usikabali shida zako kuwapa wengine na za wengine kuzibeba bila sababu ya msingi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Mimi nikiwa na shida sipendagi shida zangu ziwe kero kwa mwengine nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutafuta suluhu ya matatizo yangu , kadhalika huwa sipendi shida za mtu mwengine ziwe kero kwangu maana na mimi kama binadamu ninashida zangu

Waswahili sera za ujamaa zimewaharibu sana huwa wanapenda kutembeza bakuli hata kwa shida ndogo ndogo

Sikatai kama binadamu kuna kukwama kuna mahali mtu yeyote utahitaji msaada wa wengine , lakini mpaka ufikie hatua hiyo inatakiwa uwe umeshindwa sana kwa sababu zenye mashiko
 
Back
Top Bottom