Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Maisha unayapa maana mwenyewe.
Ukweli hauhitaji vitisho ili kusimama.
Maadili ,furaha na maana ya maisha vinaweza kuwepo bila vitisho vya Mungu.
Mungu haitaji kumtisha Mungu.
Ila ukweli ndio unatishaga.
Maisha unaweza kuyapa maana utakavyo lakini uhalisia utabali palepale.
Furaha imefungamanishwa na Wema, uadilifu, utu wema, unyenyekevu, upendo, haki, akill. Na yote hayo yanapatikana katika Mungu.
Kuamini Mungu haikufanyi uwe Mwema.
Kutomuamini Mungu kama personal identity haikufanyi uwe Mbaya.