Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Maisha unayapa maana mwenyewe.
Ukweli hauhitaji vitisho ili kusimama.
Maadili ,furaha na maana ya maisha vinaweza kuwepo bila vitisho vya Mungu.
Kweli kabisaMaisha si fumbo binafsi tu,
yamejengwa pia na mazingira, jamii, historia na biolojia.
Kuna mambo hayahitaji kufumbuliwa, yanahitaji kueleweka na kushughulikiwa.
Wema hauhitaji Mungu kama vile hisabati ambayo haihitaji imani.Mungu haitaji kumtisha Mungu.
Ila ukweli ndio unatishaga.
Maisha unaweza kuyapa maana utakavyo lakini uhalisia utabali palepale.
Furaha imefungamanishwa na Wema, uadilifu, utu wema, unyenyekevu, upendo, haki, akill. Na yote hayo yanapatikana katika Mungu.
Kuamini Mungu haikufanyi uwe Mwema.
Kutomuamini Mungu kama personal identity haikufanyi uwe Mbaya.
Akili ikisha ingia kwenye survival mode ,hakuna cha imani wala Mungu mjomba
Furaha na amani ya moyo inategemea na matarajio yako ya maisha(expectations)na wale wanaokuzunguka, kama ulikuwa unategemea kumiliki baiskeli tu maishani ukija kumiliki pikipiki huwezi kuwazia au kuumia sana kukosa gari, kama ulikuwa unategemea kuajiriwa kuwa mtumishi wa Halmashauri tu huwezi kuwazia sana kufika wizarani, kwenye mashirika ya ndani ya kmataifa bungeni au Ikulu, kama hukuwahi kuwazia hata kumiliki nyumba yako huwezi kuwaza na kuumia kuhusu kumiliki ghorofa n.k n.kSio kweli.
Labda umaskini ambao umefundishwa shuleni au na wazungu.
Kuna watu ambao umewazidi Kila kitu. Wanakula mlo mmoja, wanaishi nyumba mbavu za mbwa lakini wanafuraha na Amani ya moyo kuliko anayeendesha range rover, anayeishi kwenye ghorofa, anayepigiwa salute, n.k.
Kuna namna umeingia kwenye mifumo ya wahuni wamekuchezea shere
Wema hauhitaji Mungu kama vile hisabati ambayo haihitaji imani.
Imani za Mungu zinaweza kuwepo lakini sio hitaji la lazima kwa binadamu
🤭😄😄
Sio Kila tajiri anadhulumu watu.
Wapo maskini mitaani huku lakini pia ni wadhulumati wakubwa licha ya ufukara wao.
Dhulma ni tabia haihusiani na kipato cha mtu au chama cha mtu au dini ya mtu.
Kuwa maskini haimaanishi ni msafi
Hii ni Tautology ya kiimani, bado upo ndani ya wigo wa kiimani tu.Survival mode ni ipi?
Iko hivi;
Mfumo wa maisha umeundwa kwa njia mbili.
Kumfuata Mungu kwa hiyari kwa kutumia utashi wako, maamuzi na uchaguzi.
Lakini pia unaweza usimfute Mungu lakini ulivyoumbwa utatumia mambo ya Mungu na mifumo ya Mungu indirectly ili uweze kuishi. Lakini Mungu humtaki.
Kwenye survival mode hiyohiyo utakula vyakula ambavyo vimejengwa kukufanya uishi. Huwezi jiamulia ule chochote.
Kwani vingine ni sumu.
Huwezi ishi popote utaishi sehemu ambazo mwili wako hautadhurika. Hiyo yote no kiashiria bado upo kwenye line ileile ya aliyekutengeneza ingawaje kiakili unajidanganya humtaki.
Hiz bado ni Tautology za kiimani , ni kucheka kwa kujitenya mwenyeweWema ni character ya Mungu. Chanzo chake ni Mungu.
Nafikiri concept ya Mungu wengi inawapiga chenga.
Huwezi kujua hesabu bila Logic/akili. Hesabu ni Logic
Imani unaingilia angle nyingine lakini ipo kwenye ileile seti ya Maisha ya mwanadamu
Siku ukifika Japan, South Korea, na nchi za Scandinavia na nyingi za Ulaya ndio utajua Kuna myths, misconceptions na ujinga mwingi sana usio na mashiko watu wa dini Africa mnaaminishana na kufarijiana.Wema ni character ya Mungu. Chanzo chake ni Mungu.
Nafikiri concept ya Mungu wengi inawapiga chenga.
Huwezi kujua hesabu bila Logic/akili. Hesabu ni Logic
Imani unaingilia angle nyingine lakini ipo kwenye ileile seti ya Maisha ya mwanadamu
Mfumo wa maisha umeundwa na natural selection kupitia evolution ya million of years.Survival mode ni ipi?
Iko hivi;
Mfumo wa maisha umeundwa kwa njia mbili.
Kumfuata Mungu kwa hiyari kwa kutumia utashi wako, maamuzi na uchaguzi.
Lakini pia unaweza usimfute Mungu lakini ulivyoumbwa utatumia mambo ya Mungu na mifumo ya Mungu indirectly ili uweze kuishi. Lakini Mungu humtaki.
Kwenye survival mode hiyohiyo utakula vyakula ambavyo vimejengwa kukufanya uishi. Huwezi jiamulia ule chochote.
Kwani vingine ni sumu.
Huwezi ishi popote utaishi sehemu ambazo mwili wako hautadhurika. Hiyo yote no kiashiria bado upo kwenye line ileile ya aliyekutengeneza ingawaje kiakili unajidanganya humtaki.
Furaha na amani ya moyo inategemea na matarajio yako ya maisha(expectations)na wale wanaokuzunguka, kama ulikuwa unategemea kumiliki baiskeli tu maishani ukija kumiliki pikipiki huwezi kuwazia au kuumia sana kukosa gari, kama ulikuwa unategemea kuajiriwa kuwa mtumishi wa Halmashauri tu huwezi kuwazia sana kufika wizarani, kwenye mashirika ya ndani ya kmataifa bungeni au Ikulu, kama hukuwahi kuwazia hata kumiliki nyumba yako huwezi kuwaza na kuumia kuhusu kumiliki ghorofa n.k n.k
Kama unatoka jamii za Pwani Lindi na Mtwara huwezi kuwa na mawazo sana jinsi jamii iliyokuzunguka inavyokutazama maendeleo yako kama ukiwa unatoka Kaskazini.
Siku ukifika Japan, South Korea, na nchi za Scandinavia na nyingi za Ulaya ndio utajua Kuna myths, misconceptions na ujinga mwingi sana usio na mashiko watu wa dini Africa mnaaminishana na kufarijiana.
Mjomba , tumbo halihitaji imani linataka chakula ,kuna mambo tunayaropoka tu kwa sababu tumeshiba mchicha , njaa ikikunasa sawasawa utatamani kula hata watoto wakoHata ukilala njaa utakuwa na furaha kwa sababu hujakataliwa na mungu 😁
Hiz bado ni Tautology za kiimani , ni kucheka kwa kujitenya mwenyewe
Kama haya ni mambo yanayofungamanishwa na mungu kwa nini Africa ambayo 99% ya raia wanashinda makanisani na misikitini ina uhaba mkubwa wa haya mambo ukilinganisha na nchi za ki-Atheists au upagani huko Japan, Korea, Singapore, Vietnam na Ulaya??Mungu haitaji kumtisha Mungu.
Ila ukweli ndio unatishaga.
Maisha unaweza kuyapa maana utakavyo lakini uhalisia utabali palepale.
Furaha imefungamanishwa na Wema, uadilifu, utu wema, unyenyekevu, upendo, haki, akill. Na yote hayo yanapatikana katika Mungu.
Kuamini Mungu haikufanyi uwe Mwema.
Kutomuamini Mungu kama personal identity haikufanyi uwe Mbaya.
Maadili ,wema ,utu na haki yanazaliwa na akli ya binadamu.Ukishasema wema, unazungumzia mambo ya Imani, ukisema UTU, maadili, haki za binadamu, zote hizo ni tautology za kiimani.
Huwezi zungumzia uadilifu, utu, haki, maadili, wema kama hujagusa Imani
Ndio tunarudi palepale, concept ya Mungu wengi imewavuka upeo
Maadili ,wema ,utu na haki yanazaliwa na akli ya binadamu.
Dini, imani ni wasimuliaji tu, ni kama yule jamaa anaesimulia The story book.
Hizi ni story za kipofu aliyempapasa tembo akawa anelezea ukubwa wa kila kitu kwa kurejea ukubwa wa TemboAkili ya binadamu inakitu inachoamini.
Huwezi bila kuwa akili bila Imani. Ni mambo yanayotegemeana.
Maadili, wema, utu, haki ni matunda ya Imani.
Ubunifu wowote katika mambo hayo ni matokeo ya akili.
Akili inaweza kuwa na assumptions bila Imani ya Mungu.Akili ya binadamu inakitu inachoamini.
Huwezi bila kuwa akili bila Imani. Ni mambo yanayotegemeana.
Maadili, wema, utu, haki ni matunda ya Imani.
Ubunifu wowote katika mambo hayo ni matokeo ya akili.