Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Kama haya ni mambo yanayofungamanishwa na mungu kwa nini Africa ambayo 99% ya raia wanashinda makanisani na misikitini ina uhaba mkubwa wa haya mambo ukilinganisha na nchi za ki-Atheists au upagani huko Japan, Korea, Singapore, Vietnam na Ulaya??
Hizi ni story za kipofu aliyempapasa tembo akawa anelezea ukubwa wa kila kitu kwa kurejea ukubwa wa Tembo
Akili inaweza kuwa na assumptions bila Imani ya Mungu.
Thibitisha kama huyo Mungu yupo ama hayupo
Tatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.Umeuliza swali zuri na lamsingi.
Kwenda kanisani haimaanishi upo na Mungu.
Unaweza kwenda kanisani au msikitini na usimjue Mungu.
Binadamu au kiumbe chochote automatically kinapozaliwa kimewekewa mifumo ya kumjua Mungu naturally.
Mazingira ndio yanaweza kuua mfumo hip, kuupotosha au kuuimarisha.
Huko ulaya ulikotaja wanamuamini Mungu kuliko Afrika
Akili haihitaji Mungu kukua kwake ni kwa uwezo wa kujifunza, na si reflection ya imani.Haiwezekani hiyo kitu.
Ni vile concept ya Mungu ni complicated
Akili haiwezi ku operate bila kutambua uwepo wa Mungu. Ndio maana inamipaka.
Concept ya Akili nayo ni pana na haina mwisho kama ilivyo Iman kwa sababu unaelezea moja ya character ya Mungu.
Basi alot of people tumekataliwa na mungu kama mambo ndio yako hivyo
Uovu/uasi/dhambi ndio kitu kinachotuweka binadamu mbali na uwepo wa MUNGU. Isaya 59:1-2 SUVBasi alot of people tumekataliwa na mungu kama mambo ndio yako hivyo
[1] Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; [2] lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Isa 59:1-2 (SUV) - Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka | YouVersion
Siku ukikutana na watu wasioamini mungu wanaoishi maisha ya maana kuliko wewe utaelewa jinsi ulivyokuwa kwenye box la fikra za ujinga wa kidini.Maisha bila uwepo wa Mungu hayana maana kabisa.
Tatizo Hilo haliko kwa wanaoamini Mingus. Ni tatizo la wanasayansi wa maumbo na maumbile ambao wao wanafikiri Kila kitu lazima kiwe na majibu(uthibitisho), kieleweke kwa akili za nyama(maumbile), au kiwe na maelezo(mantiki ya lugha), kitu ambacho kimewavuka upeoTatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.
Wakati mwingine na kwa mambo mengine ni vyema kufunga madomo yenu tu na kusema hamjui au haumuelewi kwa nini mambo yako yalivyo au chanzo cha jambo fulani.
Hiyo ndio mifumo ya kitheologia hauwezi kutoka nnje ,Tautology za kiimani , wanaosomea theologia wanaelewa ila nao kujichomoa hawaweziπTatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.
Wakati mwingine na kwa mambo mengine ni vyema kufunga madomo yenu tu na kusema hamjui au haumuelewi kwa nini mambo yako yalivyo au chanzo cha jambo fulani.
Sayansi ni nini kwanza?? Maana kuna utopolo mwingi sana unautapika hapa kama vile hata unaelewa unachosema.Sio Kila kitu kinahitaji uthibitisho.
Ndio zilezile elimu za darasani za kukariri.
Kwenye maarifa ya dunia, sayansi ya maumbile ndio inahitaji uthibitisho. Upo?
Lakini sio Kila sayansi ni yamaumbile
Sayansi ni nini kwanza?? Maana kuna utopolo mwingi sana unautapika hapa kama vile hata unaelewa unachosema.
kinakukataaje kitu ambacho hakipo?Sio Kila kitu kinahitaji uthibitisho.
Ndio zilezile elimu za darasani za kukariri.
Kwenye maarifa ya dunia, sayansi ya maumbile ndio inahitaji uthibitisho. Upo?
Lakini sio Kila sayansi ni yamaumbile
Unaulizwa tu Mr Bob, huenda umesahaπuUnaniuliza mimi? ππ Wee jamaa.
Mimi sipo level ya kuulizwa maana ya dhana au nadharia. Nimetoka huko miaka mingi Sana.
You are full of shit, ungekuwa umetoka huko usingekuwa unajaza utopolo usio na mashiko hapa kwa ujasiri hivyo kama ni mambo ya maana.Unaniuliza mimi? ππ Wee jamaa.
Mimi sipo level ya kuulizwa maana ya dhana au nadharia. Nimetoka huko miaka mingi Sana.
Akili haihitaji Mungu kukua kwake ni kwa uwezo wa kujifunza, na si reflection ya imani.