Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana JF naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,

Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi

Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe alikuwa ananiangalia sana mi nikazuga kama simuoni kisha aliniangalia tena na kupayuka "" Jamani huyu kaka tayari ameshakula Asijirudie tena 😲😲"

Kwakweli nilitoka nimeinamisha kichwa chini mikono nyuma kwa masikitiko😞 ni kweli nilikuwa nataka kujirudia ila naye ana kiherehere ana roho mbaya kama nini? 😁

Nimesahau🤦okey have nice day 🤪😜 🤭.
 
Sasa kosa lake ni nini happy wakati wewe mwenyewe umekiri kuwa ulikuwa tayari umeshakula?muogope Mungu basi.
 
Ajira na UMASIKINI. ukiwa na pesa huwezi kupata muda kuja kufungua thread za hovyo kama hizi.
Mbali na kufungua uzi,kwenda tu kujirudia chakula kwenye sherehe dume zima ni zaidi ya umasikini na siyo wa kipato tu nadhani hata wa ki fikra pia.
 
Mbali na kufungua uzi,kwenda tu kujirudia chakula kwenye sherehe dume zima ni zaidi ya umasikini na siyo wa kipato tu nadhani hata wa ki fikra pia.
dah!? kwahyo kama hujashiba ukaushe mzee!?.. ukute kachangia 50k kupata kadi.
 
dah!? kwahyo kama hujashiba ukaushe mzee!?.. ukute kachangia 50k kupata kadi.
Kwa mwanamme anae jitambua lazima azingatie itifaki,na kama ni hiyo 50k fahamu kuwa hajachangia peke yake,na kumbuka heshima na utu wa mtu ndiyo kitu chenye thamani zaidi ya vingine.
 
Kwa mwanamme anae jitambua lazima azingatie itifaki,na kama ni hiyo 50k fahamu kuwa hajachangia peke yake,na kumbuka heshima na utu wa mtu ndiyo kitu chenye thamani zaidi ya vingine.
hakika unafeli mkuu.. hiyo hoja haina mashiko, mwanaume kurudia sahani unamaanisha anakua hajazingatia itifaki!?.. ni itifaki gani hizo, hebu tujulishe na sisi wasukuma wa huku mwamashimba tuzijue.
 
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana jf naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,

Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi

Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe alikuwa ananiangalia sana mi nikazuga kama simuoni kisha aliniangalia tena na kupayuka "" Jamani huyu kaka tayari ameshakula Asijirudie tena [emoji44][emoji44]"

Kwakweli nilitoka nimeinamisha kichwa chini mikono nyuma kwa masikitiko[emoji20] ni kweli nilikuwa nataka kujirudia ila nae ana kiherehere ana roho mbaya kama nini? [emoji16]

Nimesahau[emoji1751]okey have nice day [emoji2957][emoji12] [emoji2960].
Ulizani umependwa
 
hakika unafeli mkuu.. hiyo hoja haina mashiko, mwanaume kurudia sahani unamaanisha anakua hajazingatia itifaki!?.. ni itifaki gani hizo, hebu tujulishe na sisi wasukuma wa huku mwamashimba tuzijue.
Na Kama unadhani hakuvunja itifaki umeshajiuliza kwa Nini alikaripiwa na huyo mwanamke aliemfungulia Uzi?na je unadhani humo ukumbini alikuwemo yeye peke yake?na kama hakuwemo peke yake,je umejiuliza kwa nini akaripiwe yeye na si mwingine au wengine?
 
Back
Top Bottom