Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

Na Kama unadhani hakuvunja itifaki umeshajiuliza kwa Nini alikaripiwa na huyo mwanamke aliemfungulia Uzi?na je unadhani humo ukumbini alikuwemo yeye peke yake?na kama hakuwemo peke yake,je umejiuliza kwa nini akaripiwe yeye na si mwingine au wengine?
Hueleweki.! ngoja nirudie kusoma comment yako tena.
Na Kama unadhani hakuvunja itifaki umeshajiuliza kwa Nini alikaripiwa na huyo mwanamke aliemfungulia Uzi?na je unadhani humo ukumbini alikuwemo yeye peke yake?na kama hakuwemo peke yake,je umejiuliza kwa nini akaripiwe yeye na si mwingine au wengine?
Bado hueleweki umeandika pumba tupu.
 
Hio sherehe ilikuwa ya wapare?
Hawa ndugu zetu kwenye misosi huwa wanabana kweli wazamiaji
 
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana jf naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,

Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi

Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe alikuwa ananiangalia sana mi nikazuga kama simuoni kisha aliniangalia tena na kupayuka "" Jamani huyu kaka tayari ameshakula Asijirudie tena 😲😲"

Kwakweli nilitoka nimeinamisha kichwa chini mikono nyuma kwa masikitiko😞 ni kweli nilikuwa nataka kujirudia ila nae ana kiherehere ana roho mbaya kama nini? 😁

Nimesahau🤦okey have nice day 🤪😜 🤭.
Mkuu weekend na joto lote hilo unavuta bangi na kulala mchana!!!

Ona sasa unaota ndoto za kipuuziii
 
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana jf naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,

Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi

Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe alikuwa ananiangalia sana mi nikazuga kama simuoni kisha aliniangalia tena na kupayuka "" Jamani huyu kaka tayari ameshakula Asijirudie tena 😲😲"

Kwakweli nilitoka nimeinamisha kichwa chini mikono nyuma kwa masikitiko😞 ni kweli nilikuwa nataka kujirudia ila nae ana kiherehere ana roho mbaya kama nini? 😁

Nimesahau🤦okey have nice day 🤪😜 🤭.
Kwani ulitaka kujirudia?
 
Ungevunga tu mkuu ungeenda kujirudia kwako😀😀 pole, afu title nikahisi umetendwa kumbe ni kuhusu paper 2 ya msosi dah😀
 
Dah! Mzee wa addition😂😂😂😂😂😂😂
 
Haya yote ni sababu ya WHO kuindoa Bangi kwenye orodha ya Dawa hatari!!
 
UPENDO sitii vigingi kitandani mwendo bakora
Kichwani ibaki vumbi
 
Back
Top Bottom