Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

Na Kama unadhani hakuvunja itifaki umeshajiuliza kwa Nini alikaripiwa na huyo mwanamke aliemfungulia Uzi?na je unadhani humo ukumbini alikuwemo yeye peke yake?na kama hakuwemo peke yake,je umejiuliza kwa nini akaripiwe yeye na si mwingine au wengine?
Hueleweki.! ngoja nirudie kusoma comment yako tena.
Na Kama unadhani hakuvunja itifaki umeshajiuliza kwa Nini alikaripiwa na huyo mwanamke aliemfungulia Uzi?na je unadhani humo ukumbini alikuwemo yeye peke yake?na kama hakuwemo peke yake,je umejiuliza kwa nini akaripiwe yeye na si mwingine au wengine?
Bado hueleweki umeandika pumba tupu.
 
Hio sherehe ilikuwa ya wapare?
Hawa ndugu zetu kwenye misosi huwa wanabana kweli wazamiaji
 
Mkuu weekend na joto lote hilo unavuta bangi na kulala mchana!!!

Ona sasa unaota ndoto za kipuuziii
 
Kwani ulitaka kujirudia?
 
Ungevunga tu mkuu ungeenda kujirudia kwako😀😀 pole, afu title nikahisi umetendwa kumbe ni kuhusu paper 2 ya msosi dah😀
 
Dah! Mzee wa addition😂😂😂😂😂😂😂
 
Haya yote ni sababu ya WHO kuindoa Bangi kwenye orodha ya Dawa hatari!!
 
UPENDO sitii vigingi kitandani mwendo bakora
Kichwani ibaki vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…