Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
Pengine hujawahi pata sababu ya kukufanya uzichape kwa ajili ya waifu wako! Je, waifu wako alishawahi kuzichapa kwa ajili yako?