Kwenye maisha yangu yote ya mahusiano sijawahi kutenda jambo hili.

Kwenye maisha yangu yote ya mahusiano sijawahi kutenda jambo hili.

Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.

Pengine hujawahi pata sababu ya kukufanya uzichape kwa ajili ya waifu wako! Je, waifu wako alishawahi kuzichapa kwa ajili yako?
 
ni yule aliyejilipua kukuita husband....aaah fundi....tusije kukukosa ujue

eeeeeeehwaaaa!...huyo huyo Preta....usijali mafundi wapo wengi_mjeshi akifa mwingine anazaliwa...mbinguni sio kwa mzungu useme utaenda kwa motokaa
 
aiseeeee!...wewe ulikua upande upi sasa!...nafikiri ulimchangiwa kidogo wa ubani wako eeeee

wao wakati wanaendelea, niliamua kuteleza na la aziz wangu, tukaenda zetu kucheza rugby
 
Ugomvi kama huo kamwe huwezi kuupata kama mkeo atakuwa katika makundi yafuatayo:
1.Halipi yaan namaanisha mbaya
2.Ulilazimishwa kumuoa
3.Muaminifu wa ndani na nje(anajitunza mwenyewe)
4.wewe na mkeo kama mna shutma ya kuwa Mmeathilika na UKIMWI
5.n.k ninayo mengi sana kwa leo kama unataka mengne niite ntarudi.

Hahaha kwa niaba yake nakuita urudi shusha nondo zaidi hapa
 
wao wakati wanaendelea, niliamua kuteleza na la aziz wangu, tukaenda zetu kucheza rugby

heeeeeeeeeeeeeeee!...uliwakutanisha watatu_una hatari kweli wewe!...yaani hata huyo la aziz wako nafikiri ana wasi wasi siku yoyote atavamiwa...najua utamlinda lakn maake ulivyo mbabe kama mammshka.....joke
 
ha ha....la aziz iz zea tu stei....
 
nakuambia ambalo ulikuwa hulijui kuhusu mkeo: alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na yule mfanyakazi mwenzako ambaye ni juzi tu alitwaliwa ktk maisha haya kutokana na ugonjwa ambao haujulikani vizuri, ila alifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja wa kiume.

Pepo wa ugomvi kisha anza kuchokonolewa, leo lazima moto uwake
 
Shari huwa haoimbwi baba.......kama unaitaka itakuja tu.....sasa hebu tafakari,jamaa anakulia mkeo unagundua,unawafumania,unaanzisha timbwili jamaa ankupiga mbele ya wife wako kipigo cha mwizi kama wewe ndio uliyefumaniwa....sasa cjui bado utakuwa na tamaa ya hiyo shari!??!.....na baada ya hapo cjui itakuwaje?

Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
 
Huenda mkeo hana mvuto.
Hata pssss!!!! za barabarani hapati.
 
Kama anatako la haja mweupe amepanda hewani niuzie hiyo kesi hafu utashangaa mke wako na kibano unapata ww ahaaaaaa
 
Back
Top Bottom