Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

Nimeona manne tu wengine hujaweka
 
Mbona kwenye orodha yako kuna makabila hayapo? Mfano: Wachaga, Wakurya, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wamakonde, Wahehe, nk

Hivi kuna kabila linaitwa Waswahili?
 
Mbona kwenye orodha yako kuna makabila hayapo? Mfano: Wachaga, Wakurya, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wamakonde, Wahehe, nk

Hivi kuna kabila linaitwa Waswahili?
Hapo kwenye WAMAKONDE [emoji39][emoji39][emoji39]
 
mambo ya kupeana kazi haya kuanza kurecall mademu uliowagonga, anyway.

1: Mgogo
2: Msandawe
3: Mrangi
4: Mnyiramba
5: Mpogoro
6: Msukuma
7: Mmakonde
8: Mndengereko

itakuwa nimeshagonga wanawake makabila mengi, wengine sikuzingatia makabila yao.
 
Tanzania ya viwanda
 
Hamna kitu kama hicho. Umeshawahi kula nyama ya ng'ombe ya Ukerewe, linganisha na ya Dodoma
Ukishamaliza kula utasema ,ukiulizwa umekula Nini,utasema nimekula nyama ya ng'ombe😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…