Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Nimeyapokea Kwa heshima na taadhima😂😂😂😂😂Joannah ww upewe maua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeyapokea Kwa heshima na taadhima😂😂😂😂😂Joannah ww upewe maua
Duu kama Kuna mtu yupo DSM na hajamwonja mhaya huyo ni wakishuaWatanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao.
Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja.
- Wambugwe
- Wambunga
- Wameru
- Wamosiro
- Wampoto
- Wamwera
- Wandali
- Wandamba
- Wandendeule
- Wandengereko
- Wandonde
- Wanena
- Wangasa
- Wangindo
- Wangoni
- Wangulu
- Wangurimi (au: Wangoreme)
- Wanilamba (au: Wanyiramba)
- Wanindi
- Wanyakyusa
- Wanyambo
- Wanyamwanga
- Wanyamwezi
- Wanyanyembe
- Wanyasa
- Wanyaturu (pia: Warimi)
- Wanyiha
- Waokiek
- Wapangwa
- Wapare (pia: Wasu)
- Wapimbwe
- Wapogolo
- Warangi (au: Walangi)
- Warufiji
- Warungi
- Warungu (au: Walungu)
- Warungwa
- Warwa
- Wasafwa
- Wasagara
- Wasandawe
- Wasangu (Tanzania)
- Wasegeju
- Washambaa
- Washirazi
- Washubi
- Wasizaki
- Wasuba
- Wasukuma
- Wasumbwa
- Waswahili
- Wataveta
- Watemi (pia: Wasonjo)
- Watongwe
- Watumbuka
- Wavidunda
- Wavinza
- Wawanda
- Wawanji
- Waware (lugha yao imekufa)
- Wayao
- Wazanaki
- Wazaramo
- Wazigula
- Wazinza
- Wazyoba
Siwaulizagi hata kabila ila wanajaa semi-trailer mbili.Sasa naubembeleza uzee nimewaachia vijanaWatanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao.
Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja.
- Wambugwe
- Wambunga
- Wameru
- Wamosiro
- Wampoto
- Wamwera
- Wandali
- Wandamba
- Wandendeule
- Wandengereko
- Wandonde
- Wanena
- Wangasa
- Wangindo
- Wangoni
- Wangulu
- Wangurimi (au: Wangoreme)
- Wanilamba (au: Wanyiramba)
- Wanindi
- Wanyakyusa
- Wanyambo
- Wanyamwanga
- Wanyamwezi
- Wanyanyembe
- Wanyasa
- Wanyaturu (pia: Warimi)
- Wanyiha
- Waokiek
- Wapangwa
- Wapare (pia: Wasu)
- Wapimbwe
- Wapogolo
- Warangi (au: Walangi)
- Warufiji
- Warungi
- Warungu (au: Walungu)
- Warungwa
- Warwa
- Wasafwa
- Wasagara
- Wasandawe
- Wasangu (Tanzania)
- Wasegeju
- Washambaa
- Washirazi
- Washubi
- Wasizaki
- Wasuba
- Wasukuma
- Wasumbwa
- Waswahili
- Wataveta
- Watemi (pia: Wasonjo)
- Watongwe
- Watumbuka
- Wavidunda
- Wavinza
- Wawanda
- Wawanji
- Waware (lugha yao imekufa)
- Wayao
- Wazanaki
- Wazaramo
- Wazigula
- Wazinza
- Wazyoba
Waswahili ni jamii inayojumuisha makabila ya Pwani ya Afrika MasharikiMbona kwenye orodha yako kuna makabila hayapo? Mfano: Wachaga, Wakurya, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wamakonde, Wahehe, nk
Hivi kuna kabila linaitwa Waswahili?
🤣🤣ZAFANANA.
Kuna Ile wanasema alie kula ugali nyama na aliekula mchuzi wa nyama wasiponawa Mimi wote watajukana wamekula nyama[emoji23][emoji23]Ukishamaliza kula utasema ,ukiulizwa umekula Nini,utasema nimekula nyama ya ng'ombe[emoji16][emoji16]
Suleiman alikua na Masuria 6,000+ wewe ni mlokole kuliko suleimain?Duu,!Neema ya Mungu iwashukie mkajue nyie ni Akina nani! Na mwili ni Ni kwa ajili ya nini
🤣🤣🤣🤣 Eeeeh umenielewaKuna Ile wanasema alie kula ugali nyama na aliekula mchuzi wa nyama wasiponawa Mimi wote watajukana wamekula nyama[emoji23][emoji23]
Kwani Suleimani alikuwa mlokole au alikuwa mfalme?Suleiman alikua na Masuria 6,000+ wewe ni mlokole kuliko suleimain?
Mapishi tofautiZAFANANA.
Mfalme MlokoleKwani Suleimani alikuwa mlokole au alikuwa mfalme?