Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

Duu kama Kuna mtu yupo DSM na hajamwonja mhaya huyo ni wakishua
 
Imani yangu inanibana maana naamini siku ya mwisho Watu wote watasamehewa dhambi isipokua waliotenda dhambi na wakazisimulia dhambi hizo
 
Siwaulizagi hata kabila ila wanajaa semi-trailer mbili.Sasa naubembeleza uzee nimewaachia vijana
 
Mbona kwenye orodha yako kuna makabila hayapo? Mfano: Wachaga, Wakurya, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wamakonde, Wahehe, nk

Hivi kuna kabila linaitwa Waswahili?
Waswahili ni jamii inayojumuisha makabila ya Pwani ya Afrika Mashariki
 
Ndiyo maana umeme unakatika kila mara.

Na Zembwela ameshaanza ngonjera za Mtera kuishiwa maji.

Tumrudieni Mungu, dhambi zipungue!
 
Ila Tanzania ina makabila mengi sana.

Wachagga (😘)

Msukuma(πŸ˜€)

Wagogo

Mkamba (πŸ™†)

MnyaturuπŸ’‹

Mzaramo😳

Wanyakyusa🌹😘πŸ”₯

MluguruπŸ˜‰

Mkaguru😳
 
Ukishamaliza kula utasema ,ukiulizwa umekula Nini,utasema nimekula nyama ya ng'ombe[emoji16][emoji16]
Kuna Ile wanasema alie kula ugali nyama na aliekula mchuzi wa nyama wasiponawa Mimi wote watajukana wamekula nyama[emoji23][emoji23]
 
Wengi wao hata kuuliza kabila sikuwahi..πŸ˜‚
 
So far kama ningehesabu vizuri ni 300+. Maana ni miaka 15 now
 
Kwa hiyo tufanye kuhighlight tulizopita nazo?
 
Reactions: A43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…