Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Hamas kaanzisha vita kwa hiyo hayo uliyoandika kama ni kweli ni mojawapo ya matokeo ya vita aliyoianzisha Hamas
 
Acha kujikaza wewe wakati tako limeshakuwa kama lens mbinuko hilo.
Unajichekesha baada ya kusoma ukweli kwamba wakiukwaji wakubwa wanustawi wa watoto ni nyie na kiongozi wenu wa imani
Hahahaha matusi ya kizamani hauna tusi jipya?

Umemuuliza bI mkubwa analo kubwa sana nalipenda sana.

Mtoto wa kiume anaitwa Poki kuna hapo😀
 
Hahahaha matusi ya kizamani hauna tusi jipya?

Umemuuliza bI mkubwa analo kubwa sana nalipenda sana.

Mtoto wa kiume anaitwa Poki kuna hapo😀
Utoto na ujinga ndiyo vinavyokusumbua, na kukufanya ujitoe thamani
 
Taarifa bila uthibitisho wa chanjo cha taarifa na picha huo ni uchochezi kama uchochezi mwingine....!!
 
Hao jamaa hawana akili siyo Mzayuni siyo mpalestina hao wote vichwa vibovu akili zimehama.

Amma ukisema watapata shida mayahudi tu utakuwa unajidanganya maana hao hamas walipochokoza unaziona athari zake?zimepotea roho za Palestinian zaidi ya 30K na bado waanze kujenga tena huo mji unaona nani ameumia zaidi?
 
Kumbe hawana silaha zile roketi na bunduki wanazotumia zinakuwaga toys??
Katika kulinganisha ukubwa wa silaha basi za Hamas ni kama toys.Si unaona moto unaoshuswa na Israel.
Cha ajabu tu ni kwamba bado hawajashinda.
 
Hivi hi vita bado haijaisha

Ni vita kati ya Israel na wagonjwa na wanafunzi wa Kipalestina
 
Vita ha
Hamas kaanzisha vita kwa hiyo hayo uliyoandika kama ni kweli ni mojawapo ya matokeo ya vita aliyoianzisha Hamas
Vita hakuanzisha hamas.
Vita walianzisha jewish settlers waliokua wakiungwa mkono na IDF kuvamia mashamba ya wabedui na kuvunja nyumba za wapalestina Ramallah na Jenin.
Msijisahaulishe aisee tuna akili na tunaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…