passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Ni watu wajinga tu ambao wanweza kuwasapoti Israeli.kwanza hawa sio wale wa Israeli Wenyewe wale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia uchunguzi ufanyike hamas walivamia sherehe ya wayahudi october 7 na kuwaua halaiki kama 260 nao wafanye uchunguze?Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.
Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.
Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.
Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.
La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
Wewe puguani kweli
Huko Gaza, miili iliyozikwa chini na jeshi la Israeli inafichuliwa popote unapochimba. Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani uhuru, utu na haki za binadamu hazina thamani.
Waliwadhalilisha Wapalestina kiasi kwamba hakuna anayeripoti au kulaani chochote.
View: https://x.com/suppressednws/status/1783601542680953165?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Bikra Maria atakuwepo?Shida iko wapi? Hao wafu wamewahishwa kwenda kumiliki bikra 72 na mito ya pombe,acha wakabikiri kwa raha zqo.
Mi sijui 🤣🤣🤣Bikra Maria atakuwepo?
Uchunguzi ulikwishafanyika na kugundua mengi miongoni mwao ni kuwa idadi kubwa ya waliokufa waliuliwa na Israel yenyewe kutokana na kiwewe walichokipata.Pia uchunguzi ufanyike hamas walivamia sherehe ya wayahudi october 7 na kuwaua halaiki kama 260 nao wafanye uchunguze?
Hamas ndio walianzisha vita. Walaaniwe kwa kumwaga damu za wapalestina wasokua na hatiaUchunguzi ulikwishafanyika na kugundua mengi miongoni mwao ni kuwa idadi kubwa ya waliokufa waliuliwa na Israel yenyewe kutokana na kiwewe walichokipata.
Oct 7 2023vita kwani vimeanza lini
Sana lo
Wasiishie kusikitika tu.Wawakatae Hamas na kutafuta namna bora ya kuishi na Israeli.Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.
Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.
Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.
Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.
La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
Picha wapi? Weee muhongo!Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.
Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.
Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.
Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.
La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
Duhhh,wewe ni myahudi ??Kufukua Makaburi ni kazi ya Madaktari na watoa huduma za afya?
Ukute hao wafukuaji ni HAMAS wameenda na hizo pingu na na drip ili kuzifunga na kuzichima maiti walizozihifadhi hapo ili wapate picha za selfie wazi post, si unajua tena Wapalestina wanavyopenda selfie za madudedude ya kutisha.

Wazungu wa ulaya waliochangamana na wayahudiNi watu wajinga tu ambao wanweza kuwasapoti Israeli.kwanza hawa sio wale wa Israeli Wenyewe wale.
Israel ndio hawajui kuishi na wenzao vizuri.na kwa laana zao hawawezi kuishi na yeyote vizuri.Wasiishie kusikitika tu.Wawakatae Hamas na kutafuta namna bora ya kuishi na Israeli.
Hao wahuni waliokwenda Kulipua Israel Oktoba 7 wao walipandikizwa chuki na nani??? Tatizo hapo ni Mafundisho ya Dini yenuHao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !