Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Ni watu wajinga tu ambao wanweza kuwasapoti Israeli.kwanza hawa sio wale wa Israeli Wenyewe wale.
 
Pia uchunguzi ufanyike hamas walivamia sherehe ya wayahudi october 7 na kuwaua halaiki kama 260 nao wafanye uchunguze?
 
Shida iko wapi? Hao wafu wamewahishwa kwenda kumiliki bikra 72 na mito ya pombe,acha wakabikiri kwa raha zqo.
 
Pia uchunguzi ufanyike hamas walivamia sherehe ya wayahudi october 7 na kuwaua halaiki kama 260 nao wafanye uchunguze?
Uchunguzi ulikwishafanyika na kugundua mengi miongoni mwao ni kuwa idadi kubwa ya waliokufa waliuliwa na Israel yenyewe kutokana na kiwewe walichokipata.
 
Uchunguzi ulikwishafanyika na kugundua mengi miongoni mwao ni kuwa idadi kubwa ya waliokufa waliuliwa na Israel yenyewe kutokana na kiwewe walichokipata.
Hamas ndio walianzisha vita. Walaaniwe kwa kumwaga damu za wapalestina wasokua na hatia
 
Wasiishie kusikitika tu.Wawakatae Hamas na kutafuta namna bora ya kuishi na Israeli.
 
Picha wapi? Weee muhongo!
 
Duhhh,wewe ni myahudi ??

Umeoa au umeolewa na myahudi??
 
Duhhh,wewe ni myahudi ??

Umeoa au umeolewa na myahudi
 
Wasiishie kusikitika tu.Wawakatae Hamas na kutafuta namna bora ya kuishi na Israeli.
Israel ndio hawajui kuishi na wenzao vizuri.na kwa laana zao hawawezi kuishi na yeyote vizuri.
Walipoingia Gaza wangeonesha mfano kwa kuwatendea vyema wapalestina basi watu wa Gaza wote wangekuwa wapinzani wa Hamas.Lakini unamvunjia mtu nyumba yake na kumuulia watoto wake tena kwa njia za kikatili kwa kuwafukia wazima wazima.Hakuna mtu wa Gaza atayewapinga Hamas wanaopigana hata kwa jiwe na IDF.
 
Hao wahuni waliokwenda Kulipua Israel Oktoba 7 wao walipandikizwa chuki na nani??? Tatizo hapo ni Mafundisho ya Dini yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…