Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Uislamu ni dini ya amani mwanzo mwisho na papo hapo inakataza kukubali kuonewa.
 
Katika kulinganisha ukubwa wa silaha basi za Hamas ni kama toys.Si unaona moto unaoshuswa na Israel.
Cha ajabu tu ni kwamba bado hawajashinda.
Kuna jini aina ya makataa, atakuwa ndo aliwaongia hamas na kuwaamrisha washambulie Israel ili Hamas wafe pamoja na wapalestina wasio kuwa na hatia, kinachotafutwa hapo ni damu ya binadamu. Unashikilia mateka 102 huku Israel imeua wapalestina 34,000 na 70,000 ni majeruhi na wapalestina zaidi ya 7,000 wamekamatwa( mateka) wako kwenye gereza kali za Israel, vita ni mbaya sana usikie kwa jirani. Eneo la Gaza la North Gaza linarudi Israel kwa ujinga wa hamas.
 
Wewe mlokole punguza chuki wanaokufa ni binadamu siyo mbwa.
 
Maiti iloangukiwa na jengo na ilofukiwa hazifanani.
Jaribu kufuatilia vizuri,mateka waliokufa walikutwa katika mahandaki na majengo yaliyoanguka ila sio katika mass graves zinazofukuliwa sasa hivi.
Mateka walifungwa kamba sio pingu.
 
Uislamu ni dini ya amani mwanzo mwisho na papo hapo inakataza kukubali kuonewa.
Ndio Mnadanganywa hivyo Madrassa? husomi Quran wala Hadithi za kiislam? mnavyo ambiwa muue wayahudi na wakristo ndio Amani hiyo Fake muslim wewe.. wenyewe kwa wenyewe hamna amani kule Sudan ndio iwe Israel..

Tulioneshwa Hamas wakizikana kaburi moja then wanafukua na kusema Idf Shetani kashikwa kila kona
 
Maiti iloangukiwa na jengo na ilofukiwa hazifanani.
Jaribu kufuatilia vizuri,mateka waliokufa walikutwa katika mahandaki na majengo yaliyoanguka ila sio katika mass graves zinazofukuliwa sasa hivi.
Mateka walifungwa kamba sio pingu.
Kwa jinsi Aljaazira anavyomlika Gaza , jeshi la Israel nisingeweza kuzika wafu hao wote bila kujulikana. Hao watakuwa wamezikwa na hamas, vita ni mbaya Hamas acheni mateka ili vita isitishwe vingenevyo hali itakuwa mbaya sana, shida wengi hamuamini biblia , kila kitu kilishaongelewa kuhusu hatima ya Israel ya leo na ndugu zao waarabu, biblia inasema hakuna taifa ambalo litaweza kuwang'oa wayahudi pale middle East.
 
Unaonesha kutokua na akili timamu.
Hizi habari hata CGTN na BBC wamezitoa.
Halafu usisahau kuwa hizo hospitali Israel ama IDF walizivamia na kuzikalia kwa zaidi ya wiki tatu,hao Hamas upenyo wa kuwazika hao watu wanaupata wapi ilhali IDF walizizunguka hizo hospitali!?
We jamaa embu kuwa na utimamu kiasi.

Habari za biblia usizilete jadili hoja mezani udini weka pembeni.
 
Aljazeera yenyewe waandishi wake wengi washauliwa wakijaribu kuripoti matukio hapo Gaza na Israel pia ishaipiga marufuku kwa tamko la bunge.Habari tunazoziongelea zimetoka vyombo mbali mbali za habari na kushuhudiwa na maafisa wa vitengo vya UN.
Upande wa biblia ndio kabisa hakuna kitu cha kufanya ndio dalili.Hata Trump naye keshatoa ya kwake.
 
Kwa hiyo wao wale ndugu zao 1400 waliouwawa sio watu??? Haya masuala ya pande mbili na yatawagharimu wote miaka na miaks
 
Hii Vita haituhusu kabisaaa
 
Weka picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…