Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Sasa Pascal Mayalla naona sijui hata unachobisha hapa! Nimesema sioni tofauti kwa maana kwamba vinavyofanyika kwenye economic benefits, vyote vina sifa ya kuwa Corporate Social Responsibility...fuatilia maana ya CSR
Nikusaidie Csr ni pale kampuni au mwekezaji anapowajibika kwa jamii baada ya kunufaika kiuchumi. Mfano Barrick wanamgodi Bulyanhulu alafu wanajenga shule na hospital kwa wakazi wa Bulyanhulu.
Economic benefits ni manufaa ya kiuchumi moja kwa moja kwa muwekezaji na wabia wenzake kama wapo. Na uzuri Pasco amekufundisha na kukufanulia vizuri.
 
 
Economic benefits of the mining company, meaning the mining industry provides an economic boost in communities that need it most. This enhances residents' quality of life, supports local businesses and schools, and contributes tax revenue to local governments.

Note: kwenye economic benefits kuna job creations, so as in corporate social responsibilities. They all got something to do with the community.
chagu wa malunde
 
Huo mchoro upo sawa ila wewe ni mgumu kuelewe. Kwamba Csr ni dhana pana. Mfano responsibility ndio kama hibyo kujenga shule. Hayo mengine ni yanahusiana na mambo mengine kama uaminifu kwa jamii n.k.
Kama “responsibility” ni hiyo kujenga shule, “corporate” na “social” ni nini?🤦🏾‍♂️
 
Kwa hiyo unasisitiza Economic benefits ni sawa na Csr? Naona unanichanganya.
 
Sasa hii kulialia kuwa umenisaidia, umenisadia kitu gani? Kumbe na wewe ni mpenda misifa?
Mimi sio mpenda misifa ndio maana hunioni ni
Sasa Pascal Mayalla naona sijui hata unachobisha hapa! Nimesema sioni tofauti kwa maana kwamba vinavyofanyika kwenye economic benefits, vyote vina sifa ya kuwa Corporate Social Responsibility...fuatilia maana ya CSR
A big no!. CSR ni sehemu ndogo ya Economic benefits, sio vyote vinavyofanyika kwenye economic benefits ni CSR. CSR ni option only na sio obligation, wakati ndani ya economic benefits kuna kodi zote za serikali, sio CSR, kuna royalties sio CSR.

Mfano mzuri wa kuizungumzia CSR ni sehemu ya economic benefits lakini economic benefits sio CSR!.

Kila Mzanzibari ni Mtanzania anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa nchi ikiwemo kuwa rais wa JMT, na kumiliki ardhi popote ndani ya JMT. Lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari, hawezi kugombea Zanzibar wala kumiliki ardhi unless ni Mzanzibari Mkaazi!.

Kila CSR ni economic benefits lakini sio kila economic benefits ni CSR!.

Haya mambo mengine ni kiwango cha uwezo wa uelewa wa mtu na kujieleza, sasa ili kupima kiwango chako, naomba nifafanulie tofauti kati ya "nguvu ya hoja" na " hoja ya nguvu", maana tusije kujikuta tunahangaikia kumpigia mbuzi gitaa.
P
 
In the eyes of the corporate it is! Nyie ndo mlikuwa hamjui, mkatangazia wananchi kama vile ni kitu cha ajabu. Mnaosaini mikataba ndo mko kama hivi.

Pia nimegundua shule za Tanzania tunakariri tu.

Huko nyuma nimewauliza maana ya “clauses”, hujajibu.
 
Fedha tumelipwa, kampuni imeanzishwa.

Pongezi kwa serikali awamu ya Tano.
Fedha tulilipwa za nini?

Kufungua kampuni ya kushare “economic benefits”, siyo kitu cha ajabu kwa upande wa “corporate world”. Watakuwa waliwashangaa tu mafisadi waliosaini mikataba na viongozi wetu. Maana vingine ni haki zetu lakini hatujui. Ndo maana rais anapenda wabunge wapiga meza.
 
Huyu jamaa anayekujibu ana moyo sana,you seem to an empty tin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…