Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Nikusaidie Csr ni pale kampuni au mwekezaji anapowajibika kwa jamii baada ya kunufaika kiuchumi. Mfano Barrick wanamgodi Bulyanhulu alafu wanajenga shule na hospital kwa wakazi wa Bulyanhulu.Sasa Pascal Mayalla naona sijui hata unachobisha hapa! Nimesema sioni tofauti kwa maana kwamba vinavyofanyika kwenye economic benefits, vyote vina sifa ya kuwa Corporate Social Responsibility...fuatilia maana ya CSR
Economic benefits ni manufaa ya kiuchumi moja kwa moja kwa muwekezaji na wabia wenzake kama wapo. Na uzuri Pasco amekufundisha na kukufanulia vizuri.