Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM hata humu ndani. Mfano kina Pasco! Lakini kwa namna ya uongo na propaganda nyingi.

Ya kuhusu makinikia, hapo hakukuwa na lolote! Hata kile ambacho kada maarufu wa chama humu Pascal Mayalla, alikuja na uongo mwingi sana humu kuhusu kile alichokiita “kishika uchumba”.
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
 
Serikali ilifanya uchunguzi wa kina, waliokutwa na hatia walishitakiwa, wakakiri makosa, wakahukumiwa.
P
Wanasheria wakuu wa serikali, mawaziri, manaibu wao, wakurugenzi wa idara za mikataba, makamishna wa madini, wanasheria wa wizara ya madini na watumishi wengine wote waliohusika kuingia mikataba?
 
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Wacha kutisha watu, ngoja nitakuonyesha uongo wako na propaganda, ondoa shaka. Kwani hukuona comment yangu kwenye ile thread yako ya “kishika uchumba”? Kwenye mfululizo wa makala zako kuwa serikali imefanya vyema kwenye suala la madini na makampuni husika ya Acacia na Barrick gold.
 
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Ni wapi unaweza kunionyesha kuwa Barrick ama Acacia, walikubali kulipa kishika uchumba kwasababu walikubaliana na serikali kuwa wanachukuwa makinikia kinyume cha sheria?

Walipoamuwa kulipa hicho mlichoshangilia kama “kishika uchumba”, ni kwasababu tu hisa zilikuwa zina endelea kushuka thamani kwasababu tu taarifa za makinikia kuzuiwa, na siyo kwasababu ni halali kuyazuia makinikia. Huu ndo ukweli.

Mengine yote ni uongo na propaganda! Hakuna lolote hapo. Labda tungezungumzia kuhusu shares za kampuni ya “Twiga”, ambapo pia munasema uongo kuwa share ni 50/50! Hili siyo kweli, kampuni ya serikali ya Twiga, ina share za asilimia 16 kwenye kila mgodi unaomilikiwa na Barrick. Lakini kwenye masuala ya kiuchumi na management ndo wako 50/50.

Tusiandike kwa propaganda.
 
Maigizo tupu, kashateuliwa sasahivi hata copy ya hiyo report hana
Si umeona usanii? Halafu kuna vilaza wengine wakaenda kufanya mashambulizi wakiwaita watanzania wenzao wasaliti! Huu ni ushamba wa hali ya juu ambao matokeo yake ni uharibifu kwa Taifa letu!
 
Wanasheria wakuu wa serikali, mawaziri, manaibu wao, wakurugenzi wa idara za mikataba, makamishna wa madini, wanasheria wa wizara ya madini na watumishi wengine wote waliohusika kuingia mikataba?
Nasisitizi, wote waliotajwa wamechunguzwa, waliokutwa na washitakiwa na wamehukumiwa. Hao ambao sijasikia ujue wamechunguzwa wakakutwa hawana hatia!.

P.
 
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P

Paskali naona umepanick, na sababu hasa ya kupanick ni huu uzalendo academia wa kuogopa kujadili mambo kwa uhalisia, bali kujadili kwa utashi wa kiongozi. Ni vyema uweke huo ukweli ili kumprove wrong mleta mada, na kwakuwa tuna akili timamu, tunaweza kuchuja ukweli ni upi, na uongo ni upi. Na sio kuongea kwa jazba, pindi unapoona ukweli wa nje ya ule watawala wanaotaka ueleweke.
 
Bwahaaa bwahaaa, nimecheka kwa nguvu mpaka jamaa wa pembeni yangu wameniangalia. We mchore tu jiwe, kisha uuutake ubunge.
Mkuu Tindo, wee cheka tuu, bado namtafuta Polepole, nikimpata tuu, naibukia kwenye fomu.
P
 
Nasisitizi, wote waliotajwa wamechunguzwa, waliokutwa na washitakiwa na wamehukumiwa. Hao ambao sijasikia ujue wamechunguzwa wakakutwa hawana hatia!.

P.

Wote waliotajwa kama walichunguzwa na kukutwa hawana hatia, huo ni udhibitisho kuwa ripoti ile ilikuwa na uongo mwingi. Nakumbuka rais aliagiza wote waliotajwa kwa majina ndani ya ripoti ile kama Karamagi, Yona, Chenge nk, wakamatwe kwa uchunguzi, lakini hilo halikutokea. Na kama ni uchunguzi, basi ulikuwa uchunguzi wa kukidhi matakwa ya kisiasa.

Hiki kinachokufanya upanick, ni kwakuwa watu wanahoji mambo ambayo hayapaswi kuhojiwa, bali kuishi kwenye mode ya kusifia tu. Kibaya zaidi hata ww umeingia kwenye huu mkumbo wa kusifia, hivyo yoyote anayehoji ukweli wa ripoti ile ni mzushi.
 
Kabisa mkuu, usiri wa mikataba wa nini na wakati mali ni za watanzania?
Yote ni usanii! ccm ndo waliosaini mikataba! Na iko sirini toka kipindi cha Mkapa kina Lissu walipiga kelele, sasa huyu mwenyekiti wao mpya ndo akaja na uongo na propaganda, kisha kuzuia maswali na kulosolewa! Unadhani wanafunika nini kama si uozo?
 
Rushwa imejaa huko, sehemu zenye madini amejaza ndugu zake
 
Back
Top Bottom