Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM hata humu ndani. Mfano kina Pasco! Lakini kwa namna ya uongo na propaganda nyingi.
Ya kuhusu makinikia, hapo hakukuwa na lolote! Hata kile ambacho kada maarufu wa chama humu Pascal Mayalla, alikuja na uongo mwingi sana humu kuhusu kile alichokiita “kishika uchumba”.
P