Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM hata humu ndani. Mfano kina Pasco! Lakini kwa namna ya uongo na propaganda nyingi.
Ya kuhusu makinikia, hapo hakukuwa na lolote! Hata kile ambacho kada maarufu wa chama humu Pascal Mayalla, alikuja na uongo mwingi sana humu kuhusu kile alichokiita “kishika uchumba”.
Wanasheria wakuu wa serikali, mawaziri, manaibu wao, wakurugenzi wa idara za mikataba, makamishna wa madini, wanasheria wa wizara ya madini na watumishi wengine wote waliohusika kuingia mikataba?Serikali ilifanya uchunguzi wa kina, waliokutwa na hatia walishitakiwa, wakakiri makosa, wakahukumiwa.
P
Wacha kutisha watu, ngoja nitakuonyesha uongo wako na propaganda, ondoa shaka. Kwani hukuona comment yangu kwenye ile thread yako ya “kishika uchumba”? Kwenye mfululizo wa makala zako kuwa serikali imefanya vyema kwenye suala la madini na makampuni husika ya Acacia na Barrick gold.Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Ni wapi unaweza kunionyesha kuwa Barrick ama Acacia, walikubali kulipa kishika uchumba kwasababu walikubaliana na serikali kuwa wanachukuwa makinikia kinyume cha sheria?Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Si umeona usanii? Halafu kuna vilaza wengine wakaenda kufanya mashambulizi wakiwaita watanzania wenzao wasaliti! Huu ni ushamba wa hali ya juu ambao matokeo yake ni uharibifu kwa Taifa letu!Maigizo tupu, kashateuliwa sasahivi hata copy ya hiyo report hana
Maendeleo ya kulazimisha kwa nguvuSi umeona usanii? Halafu kuna vilaza wengine wakaenda kufanya mashambulizi wakiwaita watanzania wenzao wasaliti! Huu ni ushamba wa hali ya juu ambao matokeo yake ni uharibifu kwa Taifa letu!
Serikali ilifanya uchunguzi wa kina, waliokutwa na hatia walishitakiwa, wakakiri makosa, wakahukumiwa.
P
Nasisitizi, wote waliotajwa wamechunguzwa, waliokutwa na washitakiwa na wamehukumiwa. Hao ambao sijasikia ujue wamechunguzwa wakakutwa hawana hatia!.Wanasheria wakuu wa serikali, mawaziri, manaibu wao, wakurugenzi wa idara za mikataba, makamishna wa madini, wanasheria wa wizara ya madini na watumishi wengine wote waliohusika kuingia mikataba?
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Mkuu Tindo, wee cheka tuu, bado namtafuta Polepole, nikimpata tuu, naibukia kwenye fomu.Bwahaaa bwahaaa, nimecheka kwa nguvu mpaka jamaa wa pembeni yangu wameniangalia. We mchore tu jiwe, kisha uuutake ubunge.
Nasisitizi, wote waliotajwa wamechunguzwa, waliokutwa na washitakiwa na wamehukumiwa. Hao ambao sijasikia ujue wamechunguzwa wakakutwa hawana hatia!.
P.
Mkuu Tindo, wee cheka tuu, bado namtafuta Polepole, nikimpata tuu, naibukia kwenye fomu.
P
Kabisa mkuu, usiri wa mikataba wa nini na wakati mali ni za watanzania?Maendeleo ya nchi yanahitaji mipango. Ukilazimisha unapata hasara. Zote hizi ni propaganda tu! Wao ndo wamesaini mikataba na hata sasa ni siri bado!
Yote ni usanii! ccm ndo waliosaini mikataba! Na iko sirini toka kipindi cha Mkapa kina Lissu walipiga kelele, sasa huyu mwenyekiti wao mpya ndo akaja na uongo na propaganda, kisha kuzuia maswali na kulosolewa! Unadhani wanafunika nini kama si uozo?Kabisa mkuu, usiri wa mikataba wa nini na wakati mali ni za watanzania?
Rushwa imejaa huko, sehemu zenye madini amejaza ndugu zakeYote ni usanii! ccm ndo waliosaini mikataba! Na iko sirini toka kipindi cha Mkapa kina Lissu walipiga kelele, sasa huyu mwenyekiti wao mpya ndo akaja na uongo na propaganda, kisha kuzuia maswali na kulosolewa! Unadhani wanafunika nini kama si uozo?
Amini usiamini, bado namtafuta!. It's very unfortunately imetokea hadi time ya kuchukua fomu imefika Polepole bado sijampata.Ahaaaa ahaaaa, kwani Polepole ni Trump useme ana uadimu huo?
Amejificha kwenye koti la uzalendoNdo maana wanaficha na kuzuia siasa kwa uongo ama propaganda za “uzalendo” vs “usaliti”
Kwa maoni yangu, ccm ndiyo wasaliti wa Taifa hili! Ukiwahoji unapoteza maisha!😒