Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwa muda wote huo uliokuwa kimya nilitegemea uje na analysis namna gani mapendekezo hayo 21 hayajafanyiwa kazi,na usanii gani umefanyika. Ukichambua moja baada ya moja. Kuliko kuweka link za ambayo ni habari tu juu ya serikali ya Tanzania kusitisha kusafirisha makinikia.Ripoti nimeweka hapo juu, wewe unazungumzia vitu ambavyo havimo kwenye ripoti.
Pili, kwenye post yangu #2, nimeweka link ambayo Barrick wanaelezea yaliyotokea, pamoja na wataalam wa kwenye soko la dunia wakizungumzia kuhusu hisa na mwelekeo wa kampuni. Pia wameongelea kuhusu mazungumzo ya kampuni na serikali, pamoja na makubaliano yaliyofikiwa. Nenda kasome kwanza ndo uje hapa ukiwa na hoja.
Jipange kabla ya kuanza kuikosoa serikali.