Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Utakuwa unarudi kinyumanyuma wakati uliomba msaada kwenye tuta na Pasco akakusaidia. Nimeshakuambia baada ya mazunguzo ya serikali yetu na Accacia kukwama juu ya kodi ya usd bil190. Barrick waliingilia kati wakaiuza Accacia na wakaahidi kutoa Bil 700 kama kishika uchumba. Baada ya hapo mazungumzo yalilejea na ikazaliwa kampuni inayoitwa Twiga minerals ltd. Ambayo imesababisha mgogoro kuisha. Hayo mapendekezo ya Prof Osolo achana nayo. Unajiabisha maana unazumguzia suala ambalo ni hadithi tena.
We shukuru sasa hivi serikali yako ina 16% ya share za Twiga gold ltd na huku ikipata economic benefits 50%.
Na sio jambo dogo sababu mtaji wa kuendesha kampuni anautoa Barrick.
Kwa hiyo uwe unajipanga kudadavua mambo kabla ya kuleta lawama.
Pascal Mayalla kawasaidia wale walokuwa hawaelewi kama wewe.
 
Nacheka sababu Corporate social rensposibility na mrabaha amekusaidia kufahamu.Any way ndio uzuri wa Jf.
Mkuu Chagu, kuna watu humu tunawasaidia sana tuu, ila hawana shukrani!.
Hii issue ya mgawanyo wa 50/50 ni hoja ya msingi sana ila ni very tricky!.
Prof. Kabudi mwenyewe na GPA yake ya 4.9 aliingia chaka.

Mchumi wetu ZZK naye pia aliingia chaka
Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Pia tukasaidia.
Mhe. Zitto, hongera kwa uzalendo, sema ukweli usipotoshe, hakuna mkataba uliosainiwa, kilichopo ni draft tuu na kuwa initialed sio kusainiwa!
P
 
Kiukweli J Mushi, kuwa mtu wa shukrani kwa madogo ili ujaaliwe makubwa!. Uzi wako huu nausoma kila post zako, kiukweli kabisa ndugu yangu wewe katika hili, wewe ni mweupe sana tuu, ila baadhi ya hoja zako ni za msingi sana.
P
Kwani ni kitu gani haswa umenielewesha hapa? Weka kimoja tu.
 
Mkuu Chagu, kuna watu humu tunawasaidia sana tuu, ila hawana shukrani!.
Hii issue ya mgawanyo wa 50/50 ni hoja ya msingi sana ila ni very tricky!.
Prof. Kabudi mwenyewe na GPA yake ya 4.9 aliingia chaka.

Mchumi wetu ZZK naye pia aliingia chaka
Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Pia tukasaidia.
Mhe. Zitto, hongera kwa uzalendo, sema ukweli usipotoshe, hakuna mkataba uliosainiwa, kilichopo ni draft tuu na kuwa initialed sio kusainiwa!
P
Kwani kwenye hiyo point ya 50/50, wewe si umeongezea mbwembwe tu na propaganda kawaida yako? Umeongezea kuwa “Maghufuli ana akili. Lakini Kabudi ana GPA ya 4.9.

What else? Kama ni hilo la kusema share siyo 50/50 kama mnavyosema, niliweka kwenye bandiko la kwanza. Bandiko laki nimelipandisha juu, kwasababu umekuabaliana na hoja yangu, kasoro kwenye uzembe mwingine ulioongezea.

Sasa hii kulialia kuwa umenisaidia, umenisadia kitu gani? Kumbe na wewe ni mpenda misifa?
 
Nacheka sababu Corporate social rensposibility na mrabaha amekusaidia kufahamu.Any way ndio uzuri wa Jf.
Nilimuuliza swali, amekuja kujibu wakati nilishaweka bandiko la kuelezea utofauti. And yes, hazina tofauti.

Na haikuwa mrahaba, ni “economic benefits” through Twiga Minerals
 
Kwani kwenye hiyo point ya 50/50, wewe si umeongezea mbwembwe tu na propaganda kawaida yako? Umeongezea kuwa “Maghufuli ana akili. Lakini Kabudi ana GPA ya 4.9.

What else? Kama ni hilo la kusema share siyo 50/50 kama mnavyosema, niliweka kwenye bandiko la kwanza. Bandiko laki nimelipandisha juu, kwasababu umekuabaliana na hoja yangu, kasoro kwenye uzembe mwingine ulioongezea.

Sasa hii kulialia kuwa umenisaidia, umenisadia kitu gani? Kumbe na wewe ni mpenda misifa?
Kuwa na shukurani we ni mweupe, ulisaidiwa.
 
Mkuu J Mushi, kwanza naomba nikupe pole kwasababu hii hoja ya 50/50 ni complex issue ambayo
  1. Watanzania wengi hawaielewi kutokana na kutokuzoea biashara za hisa kwenye the corporate world. Sisi tumezoea simple business, this is corporate business.
  2. Sikulaumu wewe, kwasababu ile siku tunatangaziwa makubaliano haya pale Ikulu, hata chief negotiator wetu, Prof. Kabudi alikuwa hajui economic benefits, hivyo akatangaza kuwa tutagawa faida, profits na akamweleza rais Magufuli hivyo na rais Magufuli akalitangazia taifa, kuwa tutagawana faida 50/50.
  3. Faida ni profits inapatikana baada ya kutoa kodi zote, na gharama zote za uendeshaji. Faida hii inagawanywa kwa uwiano wa hisa, yaani shares ratio, hivyo kwenye mgawanyo wa faida, Barrick wenye 84% shares watapata 84% ya net profits na sisi Tanzania tutapata 16% ya net profits.
  4. Economic benefits ni manufaa ya kiuchumi, na sio CSR kama ulivyoeleza wewe, na huu ndio uthibitisho unajadili kitu usichokijua, sikuiti mjinga kwasababu kutojua kitu sio kosa, muhimu ni kama unajua kitu, muelimishe asie jua.
  5. CSR ni Community Social Responsibility ambayo wawekezaji wote, makampuni yote na wafanyabiashara wote wana wajibu wa kurejesha sehemu ya faida kwa jamii inayowazunguka. Hata mimi na kale kampuni kangu ka PPR, wakati wa maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane, huwa ninatengeneza faida kubwa, hivyo kurudisha kwenye jamii, huwa nafanya matangazo ya bure kwa wananchi wa kawaida ambayo yatalisaidia taifa.
  6. Economic benefits ni faida za kiuchumi zinazotokana na biashara husika. Hii inajumuisha faida zote ambazo Tanzania itapata kutokana na migodi hii, ambazo zinajuiisha kodi zote, royalties, CSR na ile 16% ya free carried shares zetu.
  7. Tunachogawana 50/50 ni economic benefits na sio net profits. Hivyo katika mgawanyo huo, namna ya kugawana ni kwanza kutoa gharama zote za uendeshaji na kodi zote za serikali. Kisha kutenga ile faida ya shares 84% ya Barrick na kuiweka pembeni.
  8. Unachukua ile faida ya shares zetu 16%, unajumlisha kodi zote, unajumlisha royalties, unajumlisha gharama zote za CSR, ukiisha pata unaweka pembeni.
  9. Kisha sasa unalinganisha kile kilichopatikana kwenye ile 84% ya shares za Barrick ambacho Canada anachukua, na kulinganisha na kile Tanzania tunachopata kwa ile 16% yetu, ukijumlisha na kodi zote za serikali, ukijumlisha na royalties, ukijumlisha na CSR.
  10. Ikitokea faida ya shares 84% ya Barrick ni kubwa kuliko Tanzania tulichopata, then inachukuliwa hesabu ya jumla ya faida yote ya ile 84% ya faida za shares za Barrick, unatoa mapato yote Tanzania tuliyofaidika nayo, kisha the difference ya mapato ya ziada ya Barrick, yanagawanywa pasu kwa pasu, 50/50, kati ya Tanzania na Barrick, kea Barrick kuimegea Tanzania kiasi za ziada ili kila mmoja awe amefaidika kwa 50/50.
NB. ili kuuelewa utaratibu huu, lazima uwe na kichwa chenye uelewa wa mahesabu ya kihivyo, bahati nzuri sana kwa Tanzania, rais Magufuli ni mtu mwenye kichwa cha uelewa huu, japo very unfortunately Mwalimu wangu Prof. Kabudi ambaye ni kichwa mbaya, GPA yake ya 4.9 pale UDSM bado inashikilia rekodi ya UDSM tangu kuanzishwa haijawahi kuvunjwa mpaka kesho, ila na yeye mwanzo hakujua tofauti ya economic benefits na profits, ila sisi wanafunzi wake tena wa PASS tuu, tulisaidia kupitia humu humu jf, na somo likaeleweka.
Je, wajua kuna uwezekano Barrick wanatuingiza mkenge?!. Hili la kugawana 50/50 ya faida ni kweli au ni changa la macho tu?.

P
Kwa huu ufafanuzi jmushi1 ulitakiwa umtoe Pasco hata 50000 wikiend apoze koo maana hili ni darasa kubwa sana kwako na hata kwa watu wanaokurupuka kutoa lawama bila kujua mambo kwa undani.
 
Kwani ni kitu gani haswa umenielewesha hapa? Weka kimoja tu.
Kwani kwenye hiyo point ya 50/50, wewe si umeongezea mbwembwe tu na propaganda kawaida yako? Umeongezea kuwa “Maghufuli ana akili. Lakini Kabudi ana GPA ya 4.9.

What else? Kama ni hilo la kusema share siyo 50/50 kama mnavyosema, niliweka kwenye bandiko la kwanza. Bandiko laki nimelipandisha juu, kwasababu umekuabaliana na hoja yangu, kasoro kwenye uzembe mwingine ulioongezea.

Sasa hii kulialia kuwa umenisaidia, umenisadia kitu gani? Kumbe na wewe ni mpenda misifa?
Mkuu J Mushi, wewe uliuliza hivi

Hivi “ecomic benefits” si ndo kama “corporate responsibility”? Pascal Mayalla

Nauliza hili swali, kwasababu kampuni yetu ya Twiga, ina share 50/50 kwenye management pamoja na economic benefits!

Kabla sijaendelea, nilitaka nifahamu kama tuko ukurasa mmoja. Maana naona kuna anayetaka kuharibu hapa.
Mambo ya shares ni magumu, kwenye corporate world hakuna kitu kinachoitwa shares za kwenye management, shares ni kwenye ownership structures, kwenye management ni ratio ya wageni na Watanzania na sio 50/50 bali ndani ya bodi ya Twiga, kutakuwa na Mtanzania 1, kuwakilisha zile shares zetu za bure za 16%. Mjumbe huyo atakuwa na voting rights za kura moja kwa shares zote 16% kwasababu hizi shares ni za bure sio subscribed shares kwasababu hazikulipiwa wakati wale wenye shares 84%, wametoa fedha zao ndizo zinafanya kila kitu, ila kwenye mgawanyo wa faida, hizi shares zetu 16 pia tutagaiwa faida sawa na shares nyingine kwa mgawanyo wa prorata.

You were wrong kusema economic benefits ni CSR, economic benefits sio CSR, bali ni CSR ni sehemu ya economic benefits. Economic benefits ni manufaa ya Kiuchumi, yanajumuisha kodi zote za serikali, royalties, na CSR.

Unaposaidiwa kuelimishwa, uwe na shukrani.
Nimebandika mabandiko humu zaidi ya 100 kuhusu hii ya issue makinikia, na kwa lengo la kuwasaidia na wengine, na haya ni baadhi tuu!
Angalia nilianza lini.

  1. Gesi asili: Is it "day light robbery?!" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
  2. Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".
  3. Kuzuia mchanga wa dhahabu, Magufuli anastahili pongezi. Tusiishie kwenye madini tu, na gesi je?
  4. Wataalamu Hawa Wachunguzwe!,Jee Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!".
  5. Kumbe Tunapaswa Kumiliki,16% Stake ya Migodi Yote!, Jee ni Kweli Tunamiliki?, Are We Open & Fair Kwa Investors?.
  6. A Compromised Possibility: Iweje Ripoti ya Kamati ya 2 iibukie Acacia-London kabla ya kwa Magufuli?
  7. Dangote arekebisha kauli ya ‘Bulldozer’. Asema “It's OK, I have his mobile number, I can call him and he listens to me”
  8. Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?- Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?.
  9. Hivi Hawa Acacia Wana Adabu Kweli?, Baba Akiishasema Kitu, Mtoto Anatakiwa Kunyamaza. Bora Wafungashe Tuu, Waondoke?
  10. Priorities Zetu Nini?. Dola Milioni 300 Zinatosha Kununua Smelter, Jee Tununue Au Tuzitumie Kwa Mahitaji Muhimu Zaidi?
  11. Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania
  12. Habari Njema Kutoka Acacia: Wakubali Kila Kitu Ikiwemo Kulipa Kishika Uchumba Cha Dola Milioni 300
  13. Nchi ya kusadikika na kisa cha binti Mfalme aliyebakwa; Baba wa binti anapofurahia kishika uchumba badala ya mahari
  14. Priorities Zetu Nini?. Dola Milioni 300 Zinatosha Kununua Smelter, Jee Tununue Au Tuzitumie Kwa Mahitaji Muhimu Zaidi?
  15. Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?
  16. Je, Acacia waanza kufungasha kiaina? Wauza 51% ya shares mgodi mmoja!, wajipanga kuuza shares zote 100%
  17. Je, wajua kuna uwezekano Barrick wanatuingiza mkenge?!. Hili la kugawana 50/50 ya faida ni kweli au ni changa la macho tu?.
  18. Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania
  19. Je, wajua kuwa mazungumzo yetu na Barrick ni mazungumzo tu? Mwenye uamuzi wa mwisho ni Acacia!, Kwanini hakushirikishwa?!. Je, Tutalipwa?.
  20. Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?.
  21. Acacia Yatutangaza Vibaya Duniani, Yadai Tanzania Kuna " risks to the safety and security of people"!, Mwekezaji Gani Ata Invest Kwenye Such Risks?!.
  22. Barrick Yaitangaza Vibaya Tanzania “Considered a higher risk",na "Acacia Mining reflects Tanzania risk". Jee ni Kweli?. Kama Sii Kweli Tukanushe Au?.
  23. Mambo ya Barrick; Barrick Executive Chairman Thornton Ajiuzia Shares na kumiliki Shares Milioni 5!.
  24. Wakati Tukisubiri $ Milioni 300 zetu Kutoka Barrick, Yauza Hisa za $ Milioni 300 Kwa Mchina Huku Ikinunua Mgodi wa Randgold Kwa $ Bilioni 18.3!.
  25. From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!
  26. Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi wake wa South Houndé nchini Burkina Faso
  27. Hongera Serikali yetu, kuwatosa Acacia kwa kutowatambua huu ndio uanaume!. acacia kula jeuri yake, faces hostile take over, soon itakuwa kwishney!.
  28. Dola Milioni 300 zetu za kishika uchumba cha Acacia, danadana zinaendelea. Je, tutalipwa kweli au tunatapeliwa?!. Rais Magufuli anaweza kutapeliwa?
  29. Kwanini Mapendekezo ya Makubaliano yetu na Barrick bado hayajafika Acacia ambao Wanazidi Kupata Hasara. Hizi pesa watalipa? Kwa Uwezo Upi?
  30. Serikali yazidisha kibano kwa Acacia, NEMC yasimamisha shughuli za mgodi, Acacia yasalimu amri kwa kusitisha kesi zote, yasubiria PUSU ya Barrick
  31. Baada ya ACACIA kukataliwa Tanzania, na Barrick, sasa yagombana na Barrick! Je, ni ugomvi kweli, ni kutapatata kwa mfa maji au ni scheme?.
  32. Ulinzi wa rasilimali za Taifa, Magufuli kiboko!, hataki mchezo kabisa!, Boss wa Acacia anyimwa viza kuingia Tanzania, Barrick yafunguka kila kitu!.
  33. Kwa Serikali yetu kutokuwa transparent katika madogo, kunatoa fursa media za nje kutunga uongo. FT of London lamsingizia Rais Magufuli kuwa...
  34. ACACIA wasalimu amri kununuliwa na Barrick, wamwaga kila kitu hadharani, waiponda hoja za Barrick mwanzo mwisho
  35. Barrick Wajibu Mapigo ya Acacia, Take It or Leave It. If You Take, You Get Something, If You Leave It, You Get Nothing!. Hawaongezi Hata Sentano!
  36. Zikiwa Zimabaki Siku 4 Kufikia Deadline ya Barrick Kuinunua Acacia Kwa Fedha Kiduchu, Acacia Inazidi Kujitutumua, ili Barrick Aongeze Dau!.
  37. Leo ndio leo, ni deadline ya Barrick kutangaza kifo cha Acacia kwa neno moja tuu "PUSU" (Put Up or Shut Up). ni kubali ufe, kataa ufe!, no option!.
  38. Wakati kesho ndio siku ya mwisho ya Barrick kuinunua Acacia, leo Acacia yapiga a final kick of a dying horse, yatoa taarifa ya kupata faida kubwa!.
  39. Acacia waishukuru Serikali kuhusu gold export North Mara ila walia kuzuiliwa na taasisi moja, wakiruhusiwa na nyingine, hawazalishi hadi zuio litoke!
  40. Baada ya Acacia kununuliwa, Manunuzi kukamilishwa kwa Scheme Document, Kufa Rasmi Sept 3 kwa AGM ya Acacia Kupitisha Resolution of Dissolution
  41. Leo Ndio Leo, Ni Deadline ya PUSU ya Barrick Kutangaza Kifo Cha Acacia ili Kumaliza Mgogoro Wa Makinikia. Jee Acacia Atakubali Kufa Kibudu Au...?
  42. Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!
  43. Acacia Mining: Leo Ndio Siku ya Final Finale, Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imekamilika, Ujio Wa Barrick Waanza Rasmi.
  44. Kulinda rasilimali kwa Export Ban on Concentrate: Kama tuliuzuia ili tusiibiwe kwa kutokujua kilichomo, tunawezaje kuruhusu bila kujua kilichomo?
  45. Mhe. Zitto, hongera kwa uzalendo, sema ukweli usipotoshe, hakuna mkataba uliosainiwa, kilichopo ni draft tuu na kuwa initialed sio kusainiwa!
P
 
Sasa Pascal Mayalla naona sijui hata unachobisha hapa! Nimesema sioni tofauti kwa maana kwamba vinavyofanyika kwenye economic benefits, vyote vina sifa ya kuwa Corporate Social Responsibility...fuatilia maana ya CSR
 
Wewe ndo hata sikuelewi hata kidogo. Unarudi a uongo ule ule tu!
Kama upi? Umeshapewa darasa la kutosha tena kwa manufaa ya umma. Bado hujaelewa tu?
 
Back
Top Bottom