Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi

2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya

3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein

4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal

5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

6. Samia Suluhu Hassan
Philip Mpango
Emmanuel Nchimbi
??
 
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi

2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya

3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein

4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal

5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

6. Samia Suluhu Hassan
Philip Mpango
Emmanuel Nchimbi
??
Point yako hasa ni nini? Halafu mkiambiwa kuwa watanzani ni wabaguzi, mna udini na mna ukabila mnanuna!
 
Hapa hatuangalii uislamu wala ukristo (ndyo maana jakaya alikuwa na wote waislam)

1. Kuna uwezekano mkubwa sana waziri mkuu mstaafu mmojawapo (pinda au majaliwa) akawa makamu wa rais, tofauti na hapo ni kumsogeza aliyepo awe makamu halafu simbachawene awe pm
-hapa ni kupata mtu anayeijua serikali na nchi pamoja na kuwa na busara.

2. Au makamu anaweza kuwa dotto biteko, simbchawene, mhongo au january makamba.

3. Kutoka ndani ya chama namuona aggrey, paulo chacha.

4. Kabudi anasimama mwenyewe.

5. Hii inaweza kuwa maajabu ya mwaka hapa namuongelea asha rose migiro au yule jaji mkuu mstaafu toka kanda ya ziwa wa hivi karibuni.
 
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi

2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya

3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein

4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal

5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

6. Samia Suluhu Hassan
Philip Mpango
Emmanuel Nchimbi
??
hii nayo ni maajabu
 
"Lakini bado roho inagonga kwa january makamba
-ijapo hapa anaweza akawa amekaribisha vita ya urais kati ya rafiki yangu na mtani wangu dhidi ya makamba."
 
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi

2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya

3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein

4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal

5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

6. Samia Suluhu Hassan
Philip Mpango
Emmanuel Nchimbi
??
Mkiendekeza hayo mambo ya dini hatutafika tuendako, kama nchi na kama taifa tunatakiwa kutazama deliverables badala ya dini, kabila nk
 
Hapa hatuangalii uislamu wala ukristo (ndyo maana jakaya alikuwa na wote waislam)

1. Kuna uwezekano mkubwa sana waziri mkuu mstaafu akawa makamu wa rais, tofauti na hapo ni kumsogeza aliyepo awe makamu halafu simbachawene awe pm

2. Au makamu anaweza kuwa dotto biteko, simbchawene, mhongo au january makamba.

3. Kutoka ndani ya chama namuona aggrey, paulo chacha.

4. Kabudi anasimama mwenyewe.

5. Hii inaweza kuwa maajabu ya mwaka hapa namuongelea asha rose migiro au yule jaji mkuu mstaafu toka kanda ya ziwa wa hivi karibuni.
Huwa nashangaa sana, kwenye nchi yenye watu milioni 60+, ni ka circle ka watu flani hivi ambao hata 10 hawazidi ndio tunaona wanastahili kutuongoza
 
Kumbe jaji ni ccm?
 
Huwa nashangaa sana, kwenye nchi yenye watu milioni 60+, ni ka circle ka watu flani hivi ambao hata 10 hawazidi ndio tunaona wanastahili kutuongoza
Mkuu kuna baadhi ya nafasi zinahitaji uzoefu ijapo katiba ipo kimya kuhusu hlo
-kwa hali ilivyo huwezi chukua tu graduate kutoka mashenzini aje kuwa vp, tunahtaji mzoefu, mtulivu, mhimilivu na zaidi ya yote awe na busara pamoja na hofu ya MUNGU.
 
Back
Top Bottom