Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.

Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la kawaida au ni tatizo!?

Tuna miezi miwili nimesex nae mara 6 mpk 7 hali ni hiyo.

Una kibamia sana
 
Unapiga hapo hapo kabla haijaisha na wewe umemaliza. Halafu ukimaliza hiyo video ikiwa inaendelea unatamani uipige tekee[emoji23][emoji23]
Hahahaha we ni master sana aseee
 
Miezi ya mwanzo huwa migumu sana kwa Me, unaweza kubaniwa hadi ukashangaa...
..siku zinavyoenda hadi unashangaa, mbona saivi napewa tu..haha kumbe nae kanogewa🤣🤣
Hamna mtihani mgumu kama kumvulia me first time,maana unakuwa kama ume submit paper,unasubiri mrejesho...hivyo huwa tunakaa kimachale mnoo
 
Hivi vitu hata sivielewi,🤣 ninachojua huyu dogo ana bahati sana. Miezi ya mwanzo huwa hatupewi sana hadi tueleweke zaidi.
Na mimi nimeshangaa sana imekuwaje kapewa vingi hivyo kwenye interval fupi hivyo?
 
Hamna mtihani mgumu kama kumvulia me first time,maana unakuwa kama ume submit paper,unasubiri mrejesho...hivyo huwa tunakaa kimachale mnoo
Kumbe na nyie mnakuwa kwenye mtanziko?🤣🤣 sie tunasubiri tu kuambiwa "nimekumiss babe", hayo maneno huwa yanabeba ujumbe wote🤣🤣
 
Huenda mkuu, ajaribu kukandamiza mzigo ukitoka asichomoe...ama kiba100 kinaleta tafrani[emoji1787]
Itakua mtoto maana ingelikua ni lengo la starehe asingejichosha kuwaza kwann zinatoka si ilimradi apate raha tu sasa hizi kuingia na kutoka kuna mtoto anatafutwa hapo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijaelewa, si huwa zinatoka baada ya mda..au anaongelea mda ule akimaliza tu zinatoka? Sayansi ngumu sana!
 
Kumbe na nyie mnakuwa kwenye mtanziko?🤣🤣 sie tunasubiri tu kuambiwa "nimekumiss babe", hayo maneno huwa yanabeba ujumbe wote🤣🤣
Yes kabisa!muhimu sana....yaani mahusiano mapya ni matamu ila pasua kichwa...ukiwa na babe wako mmezoena huna mawazo,unakuwa huna haja ya manati maana unajua pa kumkamatia
 
Mimi sijaelewa, si huwa zinatoka baada ya mda..au anaongelea mda ule akimaliza tu zinatoka? Sayansi ngumu sana!
Aje atueleweshe maana mimi pia ninachojua ni kuwa ikipenya tu moja basi, zingine hazina kazi zinatoka tu sasa yeye sijui anamaana ipi au anatatizika wapi exactly

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom