Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Mi nilidhani mada ya kupata usafiri ina uzito zaidi ya ile😅😅😅
Mwenzangu unawaza mbususu😅😅😅
ukijadili usafiri utakuwa umetoka kidogo nje ya mada
uko Dar sehem gani 🙄
 
Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.

Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la kawaida au ni tatizo!?

Tuna miezi miwili nimesex nae mara 6 mpk 7 hali ni hiyo.
Kumbe bado hujakua vizuri

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
1. Mbegu zako ni nyepesi
2. Unamwaga juu juu
3. Njia yake ni kubwa na haibani vizuri
Chagua inayo kufaa kati ya hizo sababu
samahni mkuu naomba kuuliza unaongelea uzoefu au maneno yakuambiwa mtaani?
 
Back
Top Bottom