Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello hello JF family
Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa.
Na kuna makabila mtambuka kimapenzi kama Wahaya, wanyamwezi, wapare, waha, wanyema.
Yote Kwa yote Wayao wa Tunduru ni nyoko ni wakali watamu, mapenzi wanajua, ni watamu.
Japo mmakonde wa Masasi anavizia kwa ukaribu hasa kucheza na mbupu, mwera na feni lake, tuache utani na choyo Myao anajua mapenzi ubingwa ni wao tu.
Wayao Mungu aendelee kutunza hao mabibi kungwi wenu waishi milele.
La Prasido pub patamu, Amazon Bar patamu na kule chini kwa yule mdada wa kinyakyusa nako kutamu, hapo kwenye nyama choma karibu na stendi patamu.
Wayao 💋💋💋❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Wadiz akitamalaki kwenye dimba la mahaba