kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Ndugu yenu wa awamu ya 5 alijifanya kushupaza shingo mwishoni alikuja zikwa na yule aliyemzingua.Amani kwenu watumishi
Leo kwenye matembezi ya Aman kule Arusha yalikuwa yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha yalishilikisha viongozi wa dini, lakin cha ajabu katika matembezi hayo sijamuona askof wa Arusha wala Padre kutoka kigango chochote kile
Au mapdre hawakualikwa ?
Uzi huu unajitegemea usiunganishwe tahadhar
Mapadre walikuwepo ila walivaa kiraia.Amani kwenu watumishi