Kwenye misiba tunafanya nini hasa, kuaga mwili wa marehemu au kumuaga marehemu? Kutoa heshima kwa mwili wa marehemu au kutoa heshima kwa marehemu?

Kabisa mkuu , lazima nije niweke utaratibu siku nikifa nichomwe moto tu.
 
Kazi yetu katika mziba;
Kumwambia marehemu aende paradiso. Inakuwa tatizo,wakati mwingine mtu ni atheist, hajui afanye nini.
Kazi nyingine ni kumuomba Mungu amsamehe marehemu dhambi zake.
Kazi mbili. Hakuna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…