Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Membe hafai kuwa Rais. Kama ana nia njema aongeze support kwa upinzani. Sio lazima agombee yeye.Kama hakubaliki si ndo habari njema kwenu au hamtaki? Wasukuma bhana!
Kabisa mkuu. Kama Membe anaupenda upinzani amsupport Lisu otherwise CHADEMA wajitenge naye.Membe hafai kuwa Rais. Kama ana nia njema aongeze support kwa upinzani. Sio lazima agombee yeye.
Nani kakuuliza kabila lako, kings kabisa na umefilisika kifkraMimi ni msukuma ila ni mpinzani damu damu.
Na lilikuwa group la wanachadema tupuKwenye Poll moja huko twitter, Lissu kapata asilimia 55.6 ya kura zote, Magu 23.9 na Membe asilimia 20.5, na wapiga kura walikuwa ni zaidi ya watu 9,243.
Kwa hiyo mwaka huu chadema hamna wapinzani wasukuma? Sasa mtashindaje huo urais?...huna sifa ya kuwa mpinzani!
Sasa watafanya nini?Lisu ndo hatari maana akipata hata wafuasi m3 halafu akataa matokeo wakaamua kuingia barabarani tayari ni tatizo. Mgombea anayehitajika ni yule ambaye atasema nimeibiwa kura ila tulieni.
Thats the sad truth
Nipo upinzani,simkubali Membe
Ananikumbusha Lowassa nostalgia....Lowassa made all of us look like fools.
We cant take this nigga serious!
Sahihi kabisa kama kuna mtu anasema Membe anakubalika kuliko Lissu aanzishe poll humu.
Mungu ndiye anayejua mioyo ya watanzania. Kiukweli wanavooneka sivo walivyo. Wana kitu moyoni na kukiwa utaratibu mzuri na wagombea wazuri bila kujali chama tunaweza kushudia maajabu.Lissu anakubalika sana hilo sina ubishi,
Isipokuwa kama Membe akisimama na Magufuli, Magufuli anapigwa asubuhi na mapema.
Watu wana hasira na utawala wa Magufuli zaidi kuliko kutomjua Membe
Nyalandu huyo anashika mkia kwenye kukubalika!
Nashangaa watu walopewa upako wa kuhubir injili wanaweka biblia kando na kubeba ilani. Wanajua kabisa siasa haina kitu maalumu bali huchanganya vyote, haki na dhulma, upendo na chuki, ukweli na uwongo, utu na udhalimu, wema na ubayaMsukuma Original,
Lakini sauli aliyebatizwa kuitwa Petro alikuwa farisayo aliyewaua na kuwatesa wakristu, lakini ni huyu sauli ndo kaeneza injili duniania kuliko petro swahiba yake Yesu.
Dogo usikariri
Utafiti wako ulitumia methodolijia gani?
Membe anakubalika sana, nimefanya utafiti binafsi juu ya hilo!
Wewe umeuliza wakulima wangapi, wafanyakazi wangapi, wanawake wangapi, wanaume wangapi, umeuliza vijana wangapi, wazee wangapi, umeuliza watu mikoa ipi.
Kama kukiwa na uchaguzi huru na haki Magufuli ajiandae kukabidhi Ikulu kwa Membe au Lissu
Sawa na waliopima mafenesiBongo kila mtu mtafiti.