Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

Daahh pole sana

Hadi hapo nadhani umeshaijua rangi ya huyo mkeo , kama Mimi ndiye wewe nakwenda kubadilisha na ya kwangu haraka sana
Yeah, ujue hata Kama Kuna sheria zinafuatw wakat wa utoaji mirathi,ukweli nikwamba kitendo alichofanya kinapunguza uaminifu kwa kias kikubwa
 
Hata muwapo hai wote kati ya mke na mume nani ambae ni rahisi kutapanya pesa na rasilimali nyingine za familia Kwa michepuko?

Je huyo ni wa kumwamini?
 
Mke wako kashakusoma shemeji.Hapo ameshaona Allah akimtwaa kabla yako hutoweza tunza watoto badala yake utatumia iyo pesa yake kuleta mke mpya ambaye anaweza watesa watoto wake.Badilika
 
Hata muwapo hai wote kati ya mke na mume nani ambae ni rahisi kutapanya pesa na rasilimali nyingine za familia Kwa michepuko?

Je huyo ni wa kumwamini?
Hapo umekariri, wanawake hutapanya pesa sana ila mara nyingi zinakuwa kama hazina uzito mkubwa maana pesa itumikayo ndani ya familia ni ya mwanaume. Usifikiri mwanamke ni malaika, ni binadamu tu tena anamadhaifu ambayo mengine huwezi amini, ila hakuna bora kati ya mwanamke au mwanaume.
 
Ebu taja kipengele kilichokuuliza kutaja warithi ni kipi. Hakuna kipengele kinachotaka kutaja warithi sema wewe na mwenzako mmeelewa vibaya maneno, najua ni pale kwenye next of kin, hiyo next of kin haimaanishi mrithi bali inamaanisha mtu wako wa karibu sana kwa mfano itokee tatizo kama kupotea, ugonjwa serious au kifo ndo wa kwanza kutafutwa ili washirikiane na mwajiri katika mambo yote. Masuala ya mirathi yako wazi kisheria,hakuna wa kurithi zaidi ya mwenza wa ndoa na watoto, so usiumize kichwa sana labda kama hamjafunga ndoa.
 
Si ndio nashangaa hata mimi
 
Kwani next of kin inahusiana nini na urithi. Mimi ninachojua ni kwa ajili ya dharura, ikitokea ajali etc watu wa karibu kuwapata. Mambo ya mirathi mmoja wa mwenza akifa yanatuliwa na sheria ya mirathi.
Yaani mke unaishi nae pika pakua lala amka halafu mtu wake wa karibu awe mamakr au baba yake hivi typo serious kweli?
 
Kwa hiyo mke uwe unaishi nae kula kupika pakua wote lala amka miaka nenda Rudi halafu mtu wake wa karibu awe mamakr au babake au dadake ?kuna uhusiano mkubwa next of kin kuwa mrithi wako!

Yaani mke unaishi nae pika pakua lala amka halafu mtu wake wa karibu awe mamakr au baba yake hivi typo serious kweli?
Mke wa mtu next of kin ni mume wako kwanza, then hao wengine
 
Hizi akili tope, now think huyo baba na mama wakifa hiyo nyumba wataridhi watoto zako?

Kuna dada aliwajengea wazazi wake kwenye shamba la familia nyumba ya 45,000,000 kabla hajajenga nyumba take na mumewe. Huyu dada mumewe ni town mission hela ya kula hampigi chenga ila sio ya kujenga.
Magufuli kamtumbua yule dada kwa sasa yeye na mumewe wamepanga vinfunguti chumba na sebule na watoto wao wawili.

Huyu dada aliniponipa wazo la kuwajengea wazazi nikamjibu no at all, jenga kwanza ya kwako na mumeo hakuwa ananielewa. Leo amepanga, nyumba wanaishi mawifi zake ambao ni wake za wadogo zake.
 
Mbona rahisi tu hiyo na Wewe Andika mama Yako na watoto wako yanini uanze kuumia maisha ni haya haya ishi Kwa furaha
 
Atakuwa amewaza utaoa akifa. Lakini nimewaza huo urithi mkeo akifa ni upi? Mali sio za kwako kwamba asipokuwepo ndugu watachukua? Sababu kikawaida mwenye hofu ya urithi huwa ni mke kwamba mali za mume wake zisiende kwa ndugu.
 
Kwenye kikao chetu cha mwisho tulikubaliana kumwandika mwanaume ninkosa la jinai
 
Mke wako kashakusoma shemeji.Hapo ameshaona Allah akimtwaa kabla yako hutoweza tunza watoto badala yake utatumia iyo pesa yake kuleta mke mpya ambaye anaweza watesa watoto wake.Badilika
Sawa shemeji.
 
Mke wa mtu next of kin ni mume wako kwanza, then hao wengine
Namimi nilijua hivyo Ila kwa comments za wadau hapa naanza kuamini kuwa mtazamo wangu haukuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…