Kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Lindi hakukuwa na Mwananchi mwenye Elfu 10 mfukoni. Halafu tunaambiwa tuna Uchumi wa Kati

Hivi wewe na akili zako za kindergarten, huko USA ambako one uchumi wa juu kabisa, hakuna raia waliokosa fedha mfukoni?? Na madeni juu??
Kwa hiyo nao wanaidanganya dunia kuwa uchumi wao ni wa developed countries??
 
Hivi wewe na akili zako za kindergarten, huko USA ambako one uchumi wa juu kabisa, hakuna raia waliokosa fedha mfukoni?? Na madeni juu??
Kwa hiyo nao wanaidanganya dunia kuwa uchumi wao ni wa developed countries??

..kwenye nchi zilizoendelea ukichukua ombaomba kweli utawakuta hawana fedha, ni dhooful-hal.

..wale waliokusanyika ktk mkutano wa ACT hawakuwa ombaomba, au homeless, wale waliwakilisha wakaazi wa kawaida wa mji wa Lindi.

..narudia acheni kuwadanganya waTz kuwa wana uchumi wa kati.
 
Uchumi wa kati my foot kawadanganye lumumba Pimbi kweli wewe. Sasa we moods si ufute zote uwafuhishe CCM futa attachment zote ufurahie tuendelee kudanganywa na mahuni ya kijani kibichi.
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako timamu unauthibitishia umma kuwa hapakuwa na mtu mwenye mwekundu kwenye huo umati...?!!!

Watu wanakuchora tu hapa jinsi ulivyo mpumbavu ...huwezi hata kujifikiria kuwa wenye mkutano walitaka ichoreke picha kuwa watu hawana hela ili wahalalishe walichotaka kukiongea kwenye sera zao
 
Wacha kuwafanya wa Tz mazuzu Yule Black aliye uwawa USA, unajua alikuwa hana kazi kwa muda na alikuwa ana discuss na wenzake jinsi ya kuishi na shutuma aliyopata ni ya kutoa dollar fake kumnunulia sigara ndio police wakaitwa.
Sasa angekuwa nazo hilo lisingetokea.
Na looting hua ina sababibishwa na nini???
 

..unasema kweli kuhusu yule mweusi aliyeuwawa USA.

..lakini waliohudhuria mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa ACT ni a very diverse group, they are everyday ppl' in Lindi township, sasa unapokuta wote hawana elfu 10 ktk mifuko yao lazima ujiulize kulikoni.

..narudia, waliokusanyika kwenye mkutano wa ACT siyo omba-omba au homeless wa mji wa Lindi, wale ni wananchi wa kawaida wa mji wa Lindi, sasa kwa kilichotokea pale Lindi nadhani siyo sahihi kuwapelekea majidai kwamba Tz imeingia uchumi wa kati.

..naamini kilichotokea Lindi kinaweza kujirudia ktk maeneo mengi sana ya nchi yetu.
 
Hata TL
 
Aliyekudanganya kwamba kuna Serikali yoyote duniani, inayowapa watu pesa mfukoni amekudanganya.
 
Huyo mwananchi ameenda kusikiliza Sera au kuchanga pesa?
Kama ni mkutano wa michango si wautangaze watu waje na michangao yao?
 
Huyo mwananchi ameenda kusikiliza Sera au kuchanga pesa?
Kama ni mkutano wa michango si wautangaze watu waje na michangao yao?

..sera za CCM na Jpm zimewafukarisha Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…