Kwenye mshahara wako ukisave kila mwezi 700k unabakiwa na tsh ngapi?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.

Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi 100.

Kwa maana hiyo nimeamua kila mwezi niwe natupia 700k pale utt kama save yangu kwa muda wa miezi 100.

Haya ni malengo ya muda mrefu sana, kwa maana hiyo kama kweli nitafanikiwa kupambana kwa miezi yote hiyo na kama Mwenyezi Mungu atanijalia afya njema na uhai, najiona nikisogea sehemu kwa umri wa 40+.

Wadau karibuni kwa mawazo yenu.
 
Umeoa au uko kwenye mahusiano?
 
Okay, saving ya 700k per month, umeshafanya forecasting kwa namna gani itaathiri familia yako?
Na hiyo 700k ni asilimia ngapi ya kipato chako?
Mkuu, ndio maana nimesema hapo juu nimefanya dodoso, nimejiridhisha hii 700k haita athiri chochote family. Kuhusu mshahara hii ni siri yangu mkuu.
 
Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.

Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi 100.

Kwa maana hiyo nimeamua kila mwezi niwe natupia 700k pale utt kama save yangu kwa muda wa miezi 100.

Haya ni malengo ya muda mrefu sana, kwa maana hiyo kama kweli nitafanikiwa kupambana kwa miezi yote hiyo na kama Mwenyezi Mungu atanijalia afya njema na uhai, najiona nikisogea sehemu kwa umri wa 40+.

Wadau karibuni kwa mawazo yenu.
Kuserv 700k wafanyakazi walio wengi hawana udole huo.

Shukuru Mungu hauna mkandamizo wa familia.

Angalia quew ilivyo ndefu Bank siku za mishahara kwenye ATM, kuna future hapo?
 
Snaptik.app_728680228240499021311.jpg
 
Hongera mkuu ww ni tajiri..Tamisemi hii kwetu ni movie ya kutisha
 
Back
Top Bottom